1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Nawe mjibu, dream liner inamsaidia vipi babu kizee wa pale chato.[emoji85][emoji85][emoji85]Aiseee....
Utashangaa mtu anakuja hapa kusema mizunguko ya lisu huko ulaya inamsaidia vipi bibi kizee wa pale singida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa kumbe ndo ulikuwa unanikwepa hiviMm tukiwa na tatizo nikakutoa kwny system yng ndio inakuwa hivyo,msg ya asbh najibu ucku...uzuri wa humu jf ukitaka kumkwepa mtu rahisi tu hamna like wala quote mnaweza kukaa miaka mnapisha kwny nyuzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hisia zinakuja kabla ya kutongozwa au baada ya kutongozwa.Hiyo ipo hata kwa wanawake mnaowatongoza na hawana hisia kwenu.
Njia yoyote hapo
1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,
Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana umenipendea nn?
Ananijibu we mwanaume sijui uliogea maji gani? ANASEMA NIMEMTESA MIAKA 3,, KAAMUA KUFUNGUKA NA ANASEMA NIHESHIMU HISIA ZAKE NISIMCHUKULIE KUWA YE MALAYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ipo hata kwa wanawake mnaowatongoza na hawana hisia kwenu.
Wewe si mpita njia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm huwa napiga simu mara mbili tu usipopokea basi cku utakayoona missed call utanitafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si mpita njia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinifanye nitapike saiv.
Usinifanye nitapike saiv.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua zangu nyumbani nalea usinisingizie.Umekula nn mpk utapike?kumbe jana nakwambia njoo ctfm ulikuwa nae village hapo mnatumia
Sent using Jamii Forums mobile app