Kumbe kuna Usumbufu tunaopata wanaume tunapotongozwa na mwanamke ambao hatuna hisia nao.

Kumbe kuna Usumbufu tunaopata wanaume tunapotongozwa na mwanamke ambao hatuna hisia nao.

1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,

Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana umenipendea nn?

Ananijibu we mwanaume sijui uliogea maji gani? ANASEMA NIMEMTESA MIAKA 3,, KAAMUA KUFUNGUKA NA ANASEMA NIHESHIMU HISIA ZAKE NISIMCHUKULIE KUWA YE MALAYA.



Sent using Jamii Forums mobile app
Piga naye story kama rafiki tu mambo ya kumwambia umenipendea nini imekaa kimalingolingo sana.
 
Siwezi kumuuliza mwanamke umenipendea nini,mimi nachowazaga ni ule ulaini uliopo katikati ya miguu yao mradi awe msafi tu.
 
Back
Top Bottom