1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #61
Kwa hiyo nimfue tu,Karne hii ukiona ile kitu roho inapenda you go for it.. hamna kusubiri ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nimfue tu,Karne hii ukiona ile kitu roho inapenda you go for it.. hamna kusubiri ..
Piga naye story kama rafiki tu mambo ya kumwambia umenipendea nini imekaa kimalingolingo sana.1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,
Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana umenipendea nn?
Ananijibu we mwanaume sijui uliogea maji gani? ANASEMA NIMEMTESA MIAKA 3,, KAAMUA KUFUNGUKA NA ANASEMA NIHESHIMU HISIA ZAKE NISIMCHUKULIE KUWA YE MALAYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana mtu wake halafu bado analeta hizo! Basi kaoza kwako huyo, si nimekwambia 2019 umeoge mloveloveKibaya zaidi ana mchizi wake,,, alafu jamaa ana mposti sana instagram kuwa ndo mwanamke aliye pewa na Mungu,,
Ila dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu ntafata ushaur wakoPiga naye story kama rafiki tu mambo ya kumwambia umenipendea nini imekaa kimalingolingo sana.
Hahah hahahah,,,, ucheshi tuAna mtu wake halafu bado analeta hizo! Basi kaoza kwako huyo, si nimekwambia 2019 umeoge mlovelove
Bas from others experience not all women are after money[emoji12]From my experience hamna mwanamke ambae hayupo after money
Na ucheshi ni kawaida yako, kumbe imekua kama ulimbo sasa
Mwandiko wako unahisi tuko level moja.Get my message beyond that one point
Ndo mana waswahili wanasema ukitaka kujitenga na dhambi ni kumkimbia shetani.Saa nyingine mtu anakuletea mapicha picha ya ajabu unaona kuepusha ugomvi ni kukaa nae mbali tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuNdo mana waswahili wanasema ukitaka kujitenga na dhambi ni kumkimbia shetani.