Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua zangu nyumbani nalea usinisingizie.
Napita village muda huu naenda rudy’s kula nyama kama Jo atakuruhusu njoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua zangu nyumbani nalea usinisingizie.
Daah unapita kweli. [emoji23][emoji23][emoji23]wewe na huyo j wako usifanye nitapike wali wanguNapita village muda huu naenda rudy’s kula nyama kama Jo atakuruhusu njoo
![]()
![]()
Daah unapita kweli. [emoji23][emoji23][emoji23]wewe na huyo j wako usifanye nitapike wali wangu
Sawa nitakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo ndio unaanza kutapika [emoji23][emoji23]...ukimaliza kutapika njoo ule kitimoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni ukatili daah,Mm tukiwa na tatizo nikakutoa kwny system yng ndio inakuwa hivyo,msg ya asbh najibu ucku...uzuri wa humu jf ukitaka kumkwepa mtu rahisi tu hamna like wala quote mnaweza kukaa miaka mnapisha kwny nyuzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ukitumia nguvu ya pesa hisia zitakuja tuHiyo ipo hata kwa wanawake mnaowatongoza na hawana hisia kwenu.
Usikremu kwamba kila mwanamke yupo after money.Mwanamke ukitumia nguvu ya pesa hisia zitakuja tu
Hahaha hahahaMm tukiwa na tatizo nikakutoa kwny system yng ndio inakuwa hivyo,msg ya asbh najibu ucku...uzuri wa humu jf ukitaka kumkwepa mtu rahisi tu hamna like wala quote mnaweza kukaa miaka mnapisha kwny nyuzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii wiki sasaAisee wanawake wanapatagatabusana wakipenda, utamuinea huruma lakini ndio hivyo.
I just don't want you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yeye kwa simu kila mara,, yaaan usipokea lawama tuMimi huwa napokea Tu simu " naongea nae friendly kabisa ... Kama vile sina kikwazo nae ..... lakini kila atakapo kuwa anataka tuonane naishia kum-bwaga tu kuwa niko busy " ..... Mpaka baadae atajiongeza na kugundua kuwa yeye sio chaguo langu ..
Sent using Jamii Forums mobile app
From my experience hamna mwanamke ambae hayupo after moneyUsikremu kwamba kila mwanamke yupo after money.
Piga mashine babuu, haina makombo hiyo1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,
Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana umenipendea nn?
Ananijibu we mwanaume sijui uliogea maji gani? ANASEMA NIMEMTESA MIAKA 3,, KAAMUA KUFUNGUKA NA ANASEMA NIHESHIMU HISIA ZAKE NISIMCHUKULIE KUWA YE MALAYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh kweli kabisa, mi nlijua kwetu tu kumbe na nyie mnapatwaHiyo ipo hata kwa wanawake mnaowatongoza na hawana hisia kwenu.
Mkuu naona umeamua kujitangaza kivingine kabisa.....mademu wa JF kazi kwenu!!!!🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,
Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana umenipendea nn?
Ananijibu we mwanaume sijui uliogea maji gani? ANASEMA NIMEMTESA MIAKA 3,, KAAMUA KUFUNGUKA NA ANASEMA NIHESHIMU HISIA ZAKE NISIMCHUKULIE KUWA YE MALAYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
jiheshimu, kwa kifupi najitegemea.Endelea kujisikia raha, ataenda kwa Bibi yake, utaja kolea halafu utakuka kulia lia hapa! Kama humtaki mwanamke mkate kabisa aende zake, ukikaa naye kwa majadiliano na kujiona handsome kwa sababu wavaa nguo za Kaka yako na kupaka perfume zake siku yako yaja
1kush africa1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,
Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana umenipendea nn?
Ananijibu we mwanaume sijui uliogea maji gani? ANASEMA NIMEMTESA MIAKA 3,, KAAMUA KUFUNGUKA NA ANASEMA NIHESHIMU HISIA ZAKE NISIMCHUKULIE KUWA YE MALAYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan sinaga swaga hizo mkuu,Mkuu naona umeamua kujitangaza kivingine kabisa.....mademu wa JF kazi kwenu!!!!🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵