Kumbe kuna Usumbufu tunaopata wanaume tunapotongozwa na mwanamke ambao hatuna hisia nao.

Kumbe kuna Usumbufu tunaopata wanaume tunapotongozwa na mwanamke ambao hatuna hisia nao.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua zangu nyumbani nalea usinisingizie.

Napita village muda huu naenda rudy’s kula nyama kama Jo atakuruhusu njoo

92f3a15a7fb18e32af6c63ed7b7de911.jpg
42c883343a601db2b4e9868df37c2a92.jpg
 
Mimi huwa napokea Tu simu " naongea nae friendly kabisa ... Kama vile sina kikwazo nae ..... lakini kila atakapo kuwa anataka tuonane naishia kum-bwaga tu kuwa niko busy " ..... Mpaka baadae atajiongeza na kugundua kuwa yeye sio chaguo langu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yeye kwa simu kila mara,, yaaan usipokea lawama tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,

Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana umenipendea nn?

Ananijibu we mwanaume sijui uliogea maji gani? ANASEMA NIMEMTESA MIAKA 3,, KAAMUA KUFUNGUKA NA ANASEMA NIHESHIMU HISIA ZAKE NISIMCHUKULIE KUWA YE MALAYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Piga mashine babuu, haina makombo hiyo

Mkuu naona umeamua kujitangaza kivingine kabisa.....mademu wa JF kazi kwenu!!!!🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵
 
Endelea kujisikia raha, ataenda kwa Bibi yake, utaja kolea halafu utakuka kulia lia hapa! Kama humtaki mwanamke mkate kabisa aende zake, ukikaa naye kwa majadiliano na kujiona handsome kwa sababu wavaa nguo za Kaka yako na kupaka perfume zake siku yako yaja
jiheshimu, kwa kifupi najitegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1,Hata nikipigiwa simu naingalia tu au nachelewa kupokea,,
2,Nachelewa kujibu sms,,,
3, Nikimkubalia huko mbeleni nitamuumiza tu,,

Kila mda anaulizia jibu,,, mm namjibu kuwa acha matani bwana umenipendea nn?

Ananijibu we mwanaume sijui uliogea maji gani? ANASEMA NIMEMTESA MIAKA 3,, KAAMUA KUFUNGUKA NA ANASEMA NIHESHIMU HISIA ZAKE NISIMCHUKULIE KUWA YE MALAYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
1kush africa
 
Back
Top Bottom