Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Nawachukia mbwa nyinyiToa izo chuki moyoni kwanza
Serekale ituue 🤣🤣🤣🤣Nawachukia mbwa nyinyi
kabisa mlaaniweSerekale ituue 🤣🤣🤣🤣
Tulaaniwe mbwa sisi....kabisa mlaaniwe
KabisaTulaaniwe mbwa sisi....
Ulifanywa nini shemelaKabisa
Sio lazima uoe. Unalazimisha kitu ambacho hukiwezi. Unajipa stress za bure.Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too
Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano najikuta nachukia naona wanawake wote ni sawa yaani nahisi wanawake wote ni nyoka na nawachukia sana hao wanawake
Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
Ukaishia vipi kuacha kumpiga?na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano
Ni wivu sio chuki. Kila mtu na bahati yake, maisha ndio yaliyo. Huna haja ya kuwa muoga, jaribu bahati yako kwa mtu mwingine!Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too
Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano najikuta nachukia naona wanawake wote ni sawa yaani nahisi wanawake wote ni nyoka na nawachukia sana hao wanawake
Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
Upwiru Dawa ya PTSD ukiipooza na kigozi manyoyaSio lazima uoe. Unalazimisha kitu ambacho hukiwezi. Unajipa stress za bure.
Atajaribu mara ngapi wakati kila akijaribu mkeka unachanikaNi wivu sio chuki. Kila mtu na bahati yake, maisha ndio yaliyo. Huna haja ya kuwa muoga, jaribu bahati yako kwa mtu mwingine!
Kaka achana na huyo Mnyantuzu...... Inaonekana anakuzibua akili. Mwanzo Ulianza kumsifia humu Sasa anakuchanganyaNachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too
Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano najikuta nachukia naona wanawake wote ni sawa yaani nahisi wanawake wote ni nyoka na nawachukia sana hao wanawake
Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
Kwamba wasiooa wanaupwiru? Nani kakwambia?Upwiru Dawa ya PTSD ukiipooza na kigozi manyoya