Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

Teh teh teeeeh! Na bado.
 
Aiseee mkuu hili ni tatizo la kisaikolojia.
Muone mwanasaikolojia akusaidie.
Japo inaonekana kuna jambo lilikutokea nyuma kuhusu hawa wanawake.
Overcome that trauma first ndio utaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Wanawake wazuri wapo kaka japo kiuhalisia hata hao wazuri wanazingua vile vile.
Kiufupi mwanamke ni kiumbe from another planet ila ndio hivyo Mungu alilazimisha tuishi navyo sayari ya Earth.
MUhimman pata tiba ndugu ya kisaikolojia.
 
Mku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…