Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

Uliona trako ukajipeleka mwenyewe Machame. Shauri yako.
Wenzio tumeoa wahehe, yaani kila muda unataka awe karibu na wewe.
 
Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
Wewe ungekuaa jirani yangu ungeshajinyonga maana Ndoa ni kama Pepo, Mbingu ndogo.
 
Fucking Problem Short you Ass, KATAA NDOA LINDA AFYA NA UCHUMI WAKO Stop Hating Woman Ishi nao kwa Akili,Ndo Waliokuzaa Kumbuka Ingawa ni Mataila
 
Jitahidi kwa sasa usiingie kwenye mahusiano kwa miaka mitatu hadi ufike 30.

Unachotakiwa kufanya kwa miaka mitatu.

Usikae muda mrefu bila kufanya ngono ila usirudie mwanamke hata kama amekufurahisha vipi, piga tembea...

Kama hauna hela kagonge hata hawa wa buku tatu tatu, ila kila ukienda gonga mpya, usirudie uliewahi kugonga.

Ukifanya hivyo kwa miaka mitatu, you will be a better person full of love, with no bitterness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…