Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

Mental health and illness
 
Utamuua dada wa watu EBU Muache aende zake
 
Kumbe ndyomaama umesema ulikurupuka kuoa kumbe sababu imeanzia huku......
 
Kawaida ya kiume hai, ukikichukia kinakuchukia
 
hakuna anayefurahia ndoa, ni kaunafiki fulani kapita mambo yaende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…