Kumbe kweli Mbowe hakuwa na Mapenzi na Chama (Chadema)

Wala hautakuwa afya kwa Mbowe kuhudhuria vikao hivyo kwa Sasa. Yeye na M/kiti wa Sasa walikuwa na walishindana kwa agenda tofauti. Leo Mbowe akiwa kiherehere wa vikao na agenda ya Mwenyekiti wa Sasa ikapata upinzani, atanyooshewa kidole Mbowe.

Lakini hata Lissu ni adui wa Mbowe. Wakati akimpokea Slaa Kuna kauli zilitoka kuwa Slaa anarudi kwakua "wabaya" wake ndani ya Chama hawapo tena.

Siasa zina unafki wa kutisha sometimes
 
Dogo unapenda kuanzisha mijadala ila unaongoza kuikimbia
 
Unajua wabaya wa Slaa walikuwa nani? Kumbuka walitokea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…