imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
I mean..baada ya kustaafu.Aling'atuka wapi? Unajua maana ya kung'atuka?
I mean..baada ya kustaafu.Aling'atuka wapi? Unajua maana ya kung'atuka?
😅😅kiki ile imebumaSio tena kuwa CHADEMA wanasambaza Virusi vya M.pox au hiyo CD imegoma kuuzika?
Hivi kwanini Wanaccm mbampenda sana?Alitukanwa sana na alivumilia sana.
Mwacheni apumzike, mwenyekiti mnae sasa mbowe wa nini?
Watashindwa tuHizi fitina za kutuchonganisha CHADEMA tuzikemee.
Tangu lini umeanza kumpenda Mbowe?Mwacheni Former chairman apumzike mlimtukana sana!
😅😅😅Tangu lini umeanza kumpenda Mbowe?
Yeah, aliposhindwa kaamua kuweka concentration kwenye maisha yake binafsi, yaani kwenye biashara zake na familia yake.wakati alikuwa anagombania mbona alikuwa na muda wa kuendelea ila aliposhindwa ndio kakosa muda?
Upo sahii. Kabisa. Huyu mbowe alikuwa anafanya siasa za biashara..Ili vikao vya Kamati Kuu vifanyike vinahitaji Akidi itimie.
Kama Mhe. Mbowe hawezi kuzuia vikao vya Kamati Kuu kuendelea kufanyika kutokana na kutokuwepo kwake, nafikiri waliopo waendelee.
Hakustaafu. Alistaafu lini. Nikumbushe.I mean..baada ya kustaafu.
Amesusa?Ili vikao vya Kamati Kuu vifanyike vinahitaji Akidi itimie.
Kama Mhe. Mbowe hawezi kuzuia vikao vya Kamati Kuu kuendelea kufanyika kutokana na kutokuwepo kwake, nafikiri waliopo waendelee.
Ni Mkwe Mkuu, kuendelea kumsema Sema humu ni kuzidi kuipa CCM sababu za kuendelea kujaribu kuipasua CDM.Upo sahii. Kabisa. Huyu mbowe alikuwa anafanya siasa za biashara..
Huenda ikawa hivyo, ama huenda shughuli zake za kibiashara zimembanaAmesusa?
Sijui sema yeye ananikumbuka kaandika kule kuwa nilimwanzishia kisha nikamkimbia siyo kuwa mi ni mwaribifu sema mademu wa humu siwaamini kabisaHeeeh we jamaa falah sana nimecheka kama falah ! Kumbe ni demu huyu? Tena lishangazi? Nyie mnawezaje kutongoza watu humu kiholela holela? Na sometimes mnawala? Mnafanyaje nyie watu?
KabisaHizi fitina za kutuchonganisha CHADEMA tuzikemee.
"mme mmiss" mbona una sound kama kimada wake? unaleta mipasho yeye kama ameamua kuwa mbali na chama hakuna alimmiss mambo yanaenda kama kawaida na mikutano inajaza raia.Yeah, aliposhindwa kaamua kuweka concentration kwenye maisha yake binafsi, yaani kwenye biashara zake na familia yake.
Vipi umemmiss? Kuna kitu mnapungukiwa asipokuwepo? Kama hakuwa muhimu si ndiyo inabidi iwe furaha kwa kuwa 'snitch wenu' yuko mbali?
Hapa mlipaswa kupiga kimya kwa style ya GONE AND FORGOTTEN.
Wanaopinga msimamo wa Chama watumuliwe haraka.Watashindwa tu