Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,547
- 11,831
Alikuwa kibaraka wa genge la kijani, hilo linajulikana.Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
View attachment 3291924
Alikuwa kibaraka wa genge la kijani, hilo linajulikana.Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
View attachment 3291924
Kumbe ni wewe?He he he.... Mchepuko wake umekuja 🤣
Yeaah... Ni mimi ulinikataa sababu ya Mbowe sasa kiko wapi? Msiwe mnadharau wanaume ambao hatuna pesa nyingi sana.Kumbe ni wewe?
Akija kusema mtasema fisadi, akinyamaza msaliti. Lissu muda wake wa kuendesha chadema ili iingoe ccmwakati alikuwa anagombania mbona alikuwa na muda wa kuendelea ila aliposhindwa ndio kakosa muda?
Mlipiga kelele Mbowe astaafu, sasa amestaafu mmapiga kelele hahudhurii vikao. Kwani vikao vimepungukiwa wajumbe mpaka iwe lazima kwake kuhudhuria?Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
View attachment 3291924
Sister. Kuhudhuria kikao wala hatoi pesa. Haijasemwa hachangii. Hahudhurii. Unakuwa mkali kwenye pesa zenu? We ameshakujengea? Sisi wanaume tuna kazi sana.... Anyway when a woMan loves....Mlipiga kelele Mbowe astaafu, sasa amestaafu mmapiga kelele hahudhurii vikao. Kwani vikao vimepungukiwa wajumbe mpaka iwe lazima kwake kuhudhuria?
Mnataka pesa zake.
Mjumbe wa Kamati kuu ni formality tu sio lazima ahudhurie. Mbowe alikuwa anakikwamisha chama kwa mujibu wa maelezo yenu sasa arudi kuendelea kukikwamisha?
Wewe ulikuwa wapi? Wapi imeandikwa kwamba Mbowe tu ndiye atakayekuletea mabadiliko ya kweli unayoyataka? kazi yako wewe ni ipi?MBOWE alikuwa mnufaika wa mfumo wa ccm .... Ndiye ameichelewesha Nchi hii kufanya mabadiliko ya kweli!!.
Dhihaka zote zile za akina lema na lisu unataka aongee tena muongee kua anataka kung'ang'ania madaraka?Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
View attachment 3291924
Ni kama wameanza kumkumbuka mapema sana 😀Alitukanwa sana na alivumilia sana.
Mwacheni apumzike, mwenyekiti mnae sasa mbowe wa nini?
Slaa,Lema,heche na lisuAlitukanwa na nani?matusi gani? Waliomwita gaidi na kumweka ndani akina nani?
Wacha weeeeeh.....naona unamkanda mgongo....when a woman loves.Dhihaka zote zile za akina lema na lisu unataka aongee tena muongee kua anataka kung'ang'ania madaraka?
Kastaafu mumuache,mmeshaanza kumkumbuka mapema hivi hata miezi 6 haijaisha
Si kweli. Matusi gani? Hawa wakunja ngumi.sivyo?Slaa,Lema,heche na lisu
Kwa kusema hivo unajiona mjuaji sana,yani namkanda mgongo nani?Wacha weeeeeh.....naona unamkanda mgongo....when a woman loves.