Kumbe kweli Mbowe hakuwa na Mapenzi na Chama (Chadema)

wakati alikuwa anagombania mbona alikuwa na muda wa kuendelea ila aliposhindwa ndio kakosa muda?
Akija kusema mtasema fisadi, akinyamaza msaliti. Lissu muda wake wa kuendesha chadema ili iingoe ccm
 
Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
View attachment 3291924
Mlipiga kelele Mbowe astaafu, sasa amestaafu mmapiga kelele hahudhurii vikao. Kwani vikao vimepungukiwa wajumbe mpaka iwe lazima kwake kuhudhuria?

Mnataka pesa zake.

Mjumbe wa Kamati kuu ni formality tu sio lazima ahudhurie. Mbowe alikuwa anakikwamisha chama kwa mujibu wa maelezo yenu sasa arudi kuendelea kukikwamisha?
 
Sister. Kuhudhuria kikao wala hatoi pesa. Haijasemwa hachangii. Hahudhurii. Unakuwa mkali kwenye pesa zenu? We ameshakujengea? Sisi wanaume tuna kazi sana.... Anyway when a woMan loves....
 
MBOWE alikuwa mnufaika wa mfumo wa ccm .... Ndiye ameichelewesha Nchi hii kufanya mabadiliko ya kweli!!.
Wewe ulikuwa wapi? Wapi imeandikwa kwamba Mbowe tu ndiye atakayekuletea mabadiliko ya kweli unayoyataka? kazi yako wewe ni ipi?
 
Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
View attachment 3291924
Dhihaka zote zile za akina lema na lisu unataka aongee tena muongee kua anataka kung'ang'ania madaraka?

Kastaafu mumuache,mmeshaanza kumkumbuka mapema hivi hata miezi 6 haijaisha
 
Dhihaka zote zile za akina lema na lisu unataka aongee tena muongee kua anataka kung'ang'ania madaraka?

Kastaafu mumuache,mmeshaanza kumkumbuka mapema hivi hata miezi 6 haijaisha
Wacha weeeeeh.....naona unamkanda mgongo....when a woman loves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…