Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nisiongee sana
Inabidi tuwe makini kwenye hii misiba yetu hasa usiku, tukae karibu na wafiwa.
Inabidi tuwe makini kwenye hii misiba yetu hasa usiku, tukae karibu na wafiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani hata kafikisha Siku kumi tangu mumewe afeHuyo Manzi amehusika kumuua mumewe, akatwe kichwa
Na mwenye Mali kashaenda zakeInasikitisha sana mkuu
Hamna bhana! Hajahusika.Huyo Manzi amehusika kumuua mumewe, akatwe kichwa
Nguvu za kutoa kipochi amezitoa wapi?Hamna bhana! Hajahusika.
Wewe umeipata wapi hii screenshot? Mie naona hii ni chai tu!Nisiongee sana
Inabidi tuwe makini kwenye hii misiba yetu hasa usiku, tukae karibu na wafiwa.
View attachment 2848505
usishangae ni hadithi za ali nacha tu hizi!!!!
Sema hata wewe, wanajuaje kama walikuwa wanaishi kuogopa macho ya watu sasa hayupo kabisa afanyaje sasa, ila nimawazo yangu nawaza kwa sauti [emoji3]Kama anagongwa upo hai unalala nae unaamka nae ndo sembuse umekufa