Dadakidoti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2024
- 399
- 1,409
Maisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu pia🙄 zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya mkononi Airtel na Tigo nikaona isiwe tabu labda naweza ambulia toka huku jamvini.
Mwenzeni naukaribia ubibi nimetimiza 36 leo. Ajabu umri wangu na mwonekano wangu vinakinzana yaani umri mkubwa kuliko mwonekano wangu. Yote kwa yote namshukuru Mungu kunijalia uhai na kunipa afya njema.
Nawatakia mafanikio mema.