Dadakidoti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2024
- 399
- 1,409
njoo pm nione picha yakoMaisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu piaπ zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya mkononi Airtel na Tigo nikaona isiwe tabu labda naweza ambulia toka huku jamvini.
Mwenzeni naukaribia ubibi nimetimiza 36 leo. Ajabu umri wangu na mwonekano wangu vinakinzana yaani umri mkubwa kuliko mwonekano wangu. Yote kwa yote namshukuru Mungu kunijalia uhai na kunipa afya njema.
Nawatakia mafanikio mema.
Asante sanaHappy Birthday dada KidotiView attachment 3118559
asante ukiona pic yangu na umri wangu hatufananinjoo pm nione picha yako
Happy birthday
nitume namba hipi?lipia tanzazo
0744505996nitume namba hipi?
Happy pon pon deiii kwako dadakidoti π€π€π€Maisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu piaπ zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya mkononi Airtel na Tigo nikaona isiwe tabu labda naweza ambulia toka huku jamvini.
Mwenzeni naukaribia ubibi nimetimiza 36 leo. Ajabu umri wangu na mwonekano wangu vinakinzana yaani umri mkubwa kuliko mwonekano wangu. Yote kwa yote namshukuru Mungu kunijalia uhai na kunipa afya njema.
Nawatakia mafanikio mema.
amenHappy pon pon deiii kwako dadakidoti π€π€π€
Uishi maisha marefu mkuu
mimi sio binti ni mmama. mimi sio wale wasiopenda ukubwa najikubali nilivyo mimi ni mmama. sio binti jmn na vitoto vya 2000 utaitajeTangazo limekaa kimkakati, ama kweli jf ni jumba la magreat thinker.
Bila D mbili unaweza kumkosa hivihivi..
Enewei happy birthday binti.
shukranHongera mkuu
Umesema muonekano wako ni tofauti na umri wako, kimwili ni binti wa buku mbili kiroho na mifupa ina umri wa 36 yrs.mimi sio binti ni mmama. mimi sio wale wasiopenda ukubwa najikubali nilivyo mimi ni mmama. sio binti jmn na vitoto vya 2000 utaitaje
thank uuuCount your life by smiles, not tears....
Count your age by friends, not years.....
Happy birthday Dadakidoti
haya bwanaUmesema muonekano wako ni tofauti na umri wako, kimwili ni binti wa buku mbili kiroho na mifupa ina umri wa 36 yrs.