pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Its quality over quantity. Hii saga yote inathibitisha hayo. Yaani miaka yote hiyo hawajawaza kutoa filamu ya 'adaptation' ya vitabu vya mwandishi wao mashuhuri, Chimamanda Adichie. Wao wamekomalia tu kwenye filamu na scripts ovyo ovyo, sijui 'Mother in Law from Hell', 'My Unknown Twin Sister' n.k n.k. Alafu wenye akili zao, ambao sio wanigeria, wakinyakua vitu ambavyo wao hawajaviona wanaanza kulia lia.Yeah right! but Nigerian Entertainment Industry makes that of Kenya look like a kindergarten baby.
Ninyi huko Kenya mmefanya adaptation ya waandishi wangapi mpaka sasa ???Its quality over quantity. Hii saga yote inathibitisha hayo. Yaani miaka yote hiyo hawajawaza kutoa filamu ya 'adaptation' ya vitabu vya mwandishi wao mashuhuri, Chimamanda Adichie. Wao wamekomalia tu kwenye filamu na scripts ovyo ovyo, sijui 'Mother in Law from Hell', 'My Unknown Twin Sister' n.k n.k. Alafu wenye akili zao, ambao sio wanigeria, wakinyakua vitu ambavyo wao hawajaviona wanaanza kulia lia.
Zipo, hata adaptations za short stories. Filamu za Kenya huwa zinajishindia tuzo na kupata nomination kwenye Oscars sio kwa sababu ya uigizaji tu. Scripts na storylines huwa ni za kueleweka na adaptations za 'real life events' huwa zinatumika. K.m. hii filamu ya 18 Hours, ambayo ilijishindia tuzo la filamu bora Afrika na filamu bora E.Africa mwaka huu, na tuzo zingine mbili kwenye AMVCA kule Lagos. 18 Hours ni kuhusu mhudumu wa afya, 'paramedic' ambaye alikaa na survivor wa ajali kwenye ambulance kwa masaa 18. Kisa hospitali haikuwa na vitanda vya kutosha, vya ICU.Ninyi huko Kenya mmefanya adaptation ya waandishi wangapi mpaka sasa ???
Hujajibu swali! Huko Kenya mefanya adaptation ngapi mpaka sasa ???Zipo, hata adaptations za short stories. Filamu za Kenya huwa zinajishindia tuzo na kupata nomination kwenye Oscars sio kwa sababu ya uigizaji tu. Scripts na storylines huwa ni za kueleweka na adaptations za real life events huwa zinatumika. K.m. hii filamu ya 18 Hours ambayo ilijishindia tuzo la filamu bora Afrika na filamu bora E.Africa mwaka huu na tuzo zingine mbili kwenye AMVCA kule Lagos. kwenyehttps://lamusicjunkie.files.wordpress.com/2018/10/18-hours.jpg?w=524&h=787
Nimekujibu kwamba zipo nyingi, na nikakupa mfano wa hiyo filamu ya 18 Hours ambayo ni adaptation ya kitabu cha Bruce Odhiambo, a paramedic in real life.Hujajibu swali! Huko Kenya mefanya adaptation ngapi mpaka sasa ???
Kumbukumbu zinaonyesha Nigeria ndiyo wanaongoza kuwa na tuzo nyingi za African Movie Awards. Kenya haimshindi Nigeria kwa chochote kile! Au unabisha ???Nimekujibu kwamba zipo nyingi, na nikakupa mfano wa hiyo filamu ya 18 Hours ambayo ni adaptation ya kitabu cha Bruce Odhiambo, a paramedic in real life.
Tuzo za AMVCA zilianza mwaka wa 2013 kule Lagos, Nigeria na hukuna mwaka ambapo filamu za Kenya zimekosa kujinyakulia tuzo. Mwaka jana ndio tuliwafunika kweli kweli.Kumbukumbu zinaonyesha Nigeria ndiyo wanaongoza kuwa na tuzo nyingi za African Movie Awards. Kenya haimshindi Nigeria kwa chochote kile! Au unabisha ???
Tuzo za AMVCA zilianza mwaka wa 2013 kule Lagos Nigeria na hukuna mwaka ambapo filamu za Kenya zimekosa kujinyakulia tuzo. Mwaka jana ndio tuliwafunika kweli kweli.Zaidi ya hiyo filamu za Kenya huwa zinajishinda tuzo nyingi kila mwaka kwenye Zanzibar Film Festival, Toronto Film Festival na Cannes pia. Kila mwaka filamu za Kenya hazikosi kupata nominations kwenye Oscars kule Hollywood. Wanigeria wametufunika kwenye kuchomoa filamu ovyo kwa wingi. Alafu vipi kuhusu Bongo Movie?Kenyans win big at 2018 Africa Magic Viewers’Choice Awards - Business Today Kenya
Kenyans win big at 2018 Africa Magic Viewers’Choice Awards - Business Today Kenyabusinesstoday.co.ke
Hii picha yako haujai 'caption', naona hapo ni kama mnapeana tuzo nyinyi wenyewe kwa wenyewe.[emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 1216052
Hii picha yako haujai 'caption', naona hapo ni kama mnapeana tuzo nyinyi wenyewe kwa wenyewe.
Upande wa burudani Kenya si lolote si chochote kwa Nigeria, huu ndiyo ukweli na dunia yote inafahamu hivyo: Wacha kufananisha mlima na kichuguu.Tuzo za AMVCA zilianza mwaka wa 2013 kule Lagos, Nigeria na hukuna mwaka ambapo filamu za Kenya zimekosa kujinyakulia tuzo. Mwaka jana ndio tuliwafunika kweli kweli.Zaidi ya hiyo filamu za Kenya huwa zinajishinda tuzo nyingi kila mwaka kwenye Zanzibar Film Festival, Toronto Film Festival na Cannes pia. Kila mwaka filamu za Kenya hazikosi kupata nominations kwenye Oscars kule Hollywood. Wanigeria wametufunika tu kwenye kuchomoa filamu ovyo kwa wingi. Alafu vipi kuhusu Bongo Movie?Kenyans win big at 2018 Africa Magic Viewers’Choice Awards - Business Today Kenya
Kenyans win big at 2018 Africa Magic Viewers’Choice Awards - Business Today Kenyabusinesstoday.co.ke