pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #21
Its quality over quantity. Hii saga yote inathibitisha hayo. Yaani miaka yote hiyo hawajawaza kutoa filamu ya 'adaptation' ya vitabu vya mwandishi wao mashuhuri, Chimamanda Adichie. Wao wamekomalia tu kwenye filamu na scripts ovyo ovyo, sijui 'Mother in Law from Hell', 'My Unknown Twin Sister' n.k n.k. Alafu wenye akili zao, ambao sio wanigeria, wakinyakua vitu ambavyo wao hawajaviona wanaanza kulia lia.Yeah right! but Nigerian Entertainment Industry makes that of Kenya look like a kindergarten baby.