Kumbe Lupita Nyong'o alinunua 'film rights' za kitabu cha Americanah mwaka wa 2014?

Kumbe Lupita Nyong'o alinunua 'film rights' za kitabu cha Americanah mwaka wa 2014?

Yeah right! but Nigerian Entertainment Industry makes that of Kenya look like a kindergarten baby.
Its quality over quantity. Hii saga yote inathibitisha hayo. Yaani miaka yote hiyo hawajawaza kutoa filamu ya 'adaptation' ya vitabu vya mwandishi wao mashuhuri, Chimamanda Adichie. Wao wamekomalia tu kwenye filamu na scripts ovyo ovyo, sijui 'Mother in Law from Hell', 'My Unknown Twin Sister' n.k n.k. Alafu wenye akili zao, ambao sio wanigeria, wakinyakua vitu ambavyo wao hawajaviona wanaanza kulia lia.
 
Ninyi huko Kenya mmefanya adaptation ya waandishi wangapi mpaka sasa ???
 
Ninyi huko Kenya mmefanya adaptation ya waandishi wangapi mpaka sasa ???
Zipo, hata adaptations za short stories. Filamu za Kenya huwa zinajishindia tuzo na kupata nomination kwenye Oscars sio kwa sababu ya uigizaji tu. Scripts na storylines huwa ni za kueleweka na adaptations za 'real life events' huwa zinatumika. K.m. hii filamu ya 18 Hours, ambayo ilijishindia tuzo la filamu bora Afrika na filamu bora E.Africa mwaka huu, na tuzo zingine mbili kwenye AMVCA kule Lagos. 18 Hours ni kuhusu mhudumu wa afya, 'paramedic' ambaye alikaa na survivor wa ajali kwenye ambulance kwa masaa 18. Kisa hospitali haikuwa na vitanda vya kutosha, vya ICU.
18-hours.jpg
 
Zipo, hata adaptations za short stories. Filamu za Kenya huwa zinajishindia tuzo na kupata nomination kwenye Oscars sio kwa sababu ya uigizaji tu. Scripts na storylines huwa ni za kueleweka na adaptations za real life events huwa zinatumika. K.m. hii filamu ya 18 Hours ambayo ilijishindia tuzo la filamu bora Afrika na filamu bora E.Africa mwaka huu na tuzo zingine mbili kwenye AMVCA kule Lagos. kwenyehttps://lamusicjunkie.files.wordpress.com/2018/10/18-hours.jpg?w=524&h=787
Hujajibu swali! Huko Kenya mefanya adaptation ngapi mpaka sasa ???
 
Nimekujibu kwamba zipo nyingi, na nikakupa mfano wa hiyo filamu ya 18 Hours ambayo ni adaptation ya kitabu cha Bruce Odhiambo, a paramedic in real life.
Kumbukumbu zinaonyesha Nigeria ndiyo wanaongoza kuwa na tuzo nyingi za African Movie Awards. Kenya haimshindi Nigeria kwa chochote kile! Au unabisha ???
 
Kumbukumbu zinaonyesha Nigeria ndiyo wanaongoza kuwa na tuzo nyingi za African Movie Awards. Kenya haimshindi Nigeria kwa chochote kile! Au unabisha ???
Tuzo za AMVCA zilianza mwaka wa 2013 kule Lagos, Nigeria na hukuna mwaka ambapo filamu za Kenya zimekosa kujinyakulia tuzo. Mwaka jana ndio tuliwafunika kweli kweli. Zaidi ya hiyo filamu za Kenya huwa zinajishinda tuzo nyingi kila mwaka kwenye Zanzibar Film Festival, Toronto Film Festival na Cannes pia. Kila mwaka filamu za Kenya hazikosi kupata nominations kwenye Oscars kule Hollywood. Wanigeria wametufunika tu kwenye kuchomoa filamu ovyo kwa wingi. Alafu vipi kuhusu Bongo Movie?
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
Tuzo za AMVCA zilianza mwaka wa 2013 kule Lagos Nigeria na hukuna mwaka ambapo filamu za Kenya zimekosa kujinyakulia tuzo. Mwaka jana ndio tuliwafunika kweli kweli. Zaidi ya hiyo filamu za Kenya huwa zinajishinda tuzo nyingi kila mwaka kwenye Zanzibar Film Festival, Toronto Film Festival na Cannes pia. Kila mwaka filamu za Kenya hazikosi kupata nominations kwenye Oscars kule Hollywood. Wanigeria wametufunika kwenye kuchomoa filamu ovyo kwa wingi. Alafu vipi kuhusu Bongo Movie?
nk.JPG
 
Tuzo za AMVCA zilianza mwaka wa 2013 kule Lagos, Nigeria na hukuna mwaka ambapo filamu za Kenya zimekosa kujinyakulia tuzo. Mwaka jana ndio tuliwafunika kweli kweli. Zaidi ya hiyo filamu za Kenya huwa zinajishinda tuzo nyingi kila mwaka kwenye Zanzibar Film Festival, Toronto Film Festival na Cannes pia. Kila mwaka filamu za Kenya hazikosi kupata nominations kwenye Oscars kule Hollywood. Wanigeria wametufunika tu kwenye kuchomoa filamu ovyo kwa wingi. Alafu vipi kuhusu Bongo Movie?
Upande wa burudani Kenya si lolote si chochote kwa Nigeria, huu ndiyo ukweli na dunia yote inafahamu hivyo: Wacha kufananisha mlima na kichuguu.

Back
Top Bottom