Kumbe Madee 'alimkwichikwichi' Shilole!

Kumbe Madee 'alimkwichikwichi' Shilole!

Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
Kwani semenya anawakwichkwich wenzake au ana homoni za kiume tu?
 
kuchapiwa ni siri ya ndani...imekuaje tena brother anaweka mambo hadharani
 
Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe

Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na Shilole kipindi wapo wote na Aliwafumania na kumkuta mmoja wao akiwa hana nguo,Diva anakiri kusikia hizo habari ila alitaka Nuh athibitishe Nuh anasema inauma sana ila ana muheshimu sana Madee ana Muheshimu pia Shilole japo Inauma sasa wali kwichi kwichi na kuwafumania

Oyo nitakupigia nitakupia baadae noma noma noma sanaaaaa

Hapa Miguu pande hapa Say my name Shishi hapa Jike shupa oyooooo
Hata goli huwa na golikipa lakini watu wanafunga. Nuh nae atafute wa kumchapia
 
Ni shida Mkuu....ungekuwa mungu anatupa uwezo Wa kuona MTU anavyojupenda ingekuwa raha sana
Ni kwa saikoloji ya kawaida sana ya kibinadamu itakayo fanya umuelewe mtu wako na ni Mungu huyo huyo ambaye upendo una tokea kwake ametupa ni utulivu wa kiakili na kutokuwa na pupa na hawa dada zetu ukijua kuwasoma huwa hawa wezi kuficha uhalisia wao muda mrefu atajitokeza tu Mungu huwa hamfichi mnafiki utamuelewa tu na wengine waliojaliwa hata ana mfumania mtu wake na bado anacheka naye mpaka mwanamke ana kimbia mwenyewe kumbuka Mungu alitupa kuwa juu kiakili na kimwili ila tunapoteza wenyewe ukiambiwa sasa hivi mtu wako yuko gesti tayari presha busara inakosa nafasi mwingine ndio anaishi hospitali kabisa.
 
Mbona zamani akusema......
Angesema vipi wakati alikuwa ana lelewa!? Ulitaka aseme atimuliwe!? Sasa hivi hana cha kupoteza ndio maana kaliweka wazi hilo. Tena inawezekana jamaa Madee alikuwa anamkaza huyo bibie hapo hapo nyumbani wake (yaani nyumbani kwa Shilole) sasa Dogo angefanyaje!?
 
Huyo Zoba naye asitupotezee muda....ni lini yeye alidhani kuwa sisi tulikuwa hatujui kinachoendelea kati yake na Shilole?

Kama aliamua kuvaa miwani ya mbao muda wote basi abaki vivyo hivyo kama Morani.....na hata akitaka kuwataja waliokuwa wanamsaidia hatofikia hata robo yao.....anyamaze tu.
 
Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
Halima Mdee katokea wapi hapo ndugu. Usimchanganye na mwanamuziki Madee, ambaye ndio alietajwa hapo. Punguza mzuka
 
Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
... kajifunze kusoma vizuri, madee na mdee si sawa....
 
Angesema vipi wakati alikuwa ana lelewa!? Ulitaka aseme atimuliwe!? Sasa hivi hana cha kupoteza ndio maana kaliweka wazi hilo. Tena inawezekana jamaa Madee alikuwa anamkaza huyo bibie hapo hapo nyumbani wake (yaani nyumbani kwa Shilole) sasa Dogo angefanyaje!?
Ina maana nuh hakuwa na hela??

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Dogo alichora hadi tatoo ya jina la Shishi kwenye makalio...mahaba uchwara ma,ma..ee
Utoto tu na aliji changanya pabaya mahaba gani mtoto wa kiume una kula makofi mbele ya hadhara kisha unadai ndio raha ya mapenzi.
 
Back
Top Bottom