Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Ukiwa tu na uhakika naye pia ana kupenda moyoni na si mdomoni vinginevyo umeumia.Aiseeee ...Mapenzi yananguvu hivi hayanaga ujanja mbele ya MTU umpendayeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa tu na uhakika naye pia ana kupenda moyoni na si mdomoni vinginevyo umeumia.Aiseeee ...Mapenzi yananguvu hivi hayanaga ujanja mbele ya MTU umpendayeee
Its your boy shish baby...shost kadata yule
Kwani semenya anawakwichkwich wenzake au ana homoni za kiume tu?Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
unadhani alikuwa anapenda kutiwa mijibaoMbona zamani akusema......
Ni shida Mkuu....ungekuwa mungu anatupa uwezo Wa kuona MTU anavyojupenda ingekuwa raha sanaUkiwa tu na uhakika naye pia ana kupenda moyoni na si mdomoni vinginevyo umeumia.
Hivi ni kweli Madee ndio mheshimiwa Halima Mdee!!!!!????Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
Hata goli huwa na golikipa lakini watu wanafunga. Nuh nae atafute wa kumchapiaAisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe
Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na Shilole kipindi wapo wote na Aliwafumania na kumkuta mmoja wao akiwa hana nguo,Diva anakiri kusikia hizo habari ila alitaka Nuh athibitishe Nuh anasema inauma sana ila ana muheshimu sana Madee ana Muheshimu pia Shilole japo Inauma sasa wali kwichi kwichi na kuwafumania
Oyo nitakupigia nitakupia baadae noma noma noma sanaaaaa
Hapa Miguu pande hapa Say my name Shishi hapa Jike shupa oyooooo
Ni kwa saikoloji ya kawaida sana ya kibinadamu itakayo fanya umuelewe mtu wako na ni Mungu huyo huyo ambaye upendo una tokea kwake ametupa ni utulivu wa kiakili na kutokuwa na pupa na hawa dada zetu ukijua kuwasoma huwa hawa wezi kuficha uhalisia wao muda mrefu atajitokeza tu Mungu huwa hamfichi mnafiki utamuelewa tu na wengine waliojaliwa hata ana mfumania mtu wake na bado anacheka naye mpaka mwanamke ana kimbia mwenyewe kumbuka Mungu alitupa kuwa juu kiakili na kimwili ila tunapoteza wenyewe ukiambiwa sasa hivi mtu wako yuko gesti tayari presha busara inakosa nafasi mwingine ndio anaishi hospitali kabisa.Ni shida Mkuu....ungekuwa mungu anatupa uwezo Wa kuona MTU anavyojupenda ingekuwa raha sana
Angesema vipi wakati alikuwa ana lelewa!? Ulitaka aseme atimuliwe!? Sasa hivi hana cha kupoteza ndio maana kaliweka wazi hilo. Tena inawezekana jamaa Madee alikuwa anamkaza huyo bibie hapo hapo nyumbani wake (yaani nyumbani kwa Shilole) sasa Dogo angefanyaje!?Mbona zamani akusema......
Acha kukurupuka wapi ametajwa halima?Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
Sasa hivi siyo kiki ni zama za kuaibishana, wanasema siri zao za ndani. Gigy Money siyo mjinga peke yake anao wafuasi kibao.Kiki zatafutwa kihivyo [emoji28]
Halima Mdee katokea wapi hapo ndugu. Usimchanganye na mwanamuziki Madee, ambaye ndio alietajwa hapo. Punguza mzukaNiliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
... kajifunze kusoma vizuri, madee na mdee si sawa....Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
kuna taarifa za kiitelejensi kwamba dogo Mziwanda mwenyewe watu wanatwanga..Huyu dogo Mbona kitambo tu alikuwa anachapiwa
Dogo alichora hadi tatoo ya jina la Shishi kwenye makalio...mahaba uchwara ma,ma..eeIla ndio huyo anaumia na kulia mpaka leo dah! ila vichanga vinapenda vibaya utafikiria ni mama yake,mapenzi yenyewe yako wapi Dunia hii Dogo.
Ina maana nuh hakuwa na hela??Angesema vipi wakati alikuwa ana lelewa!? Ulitaka aseme atimuliwe!? Sasa hivi hana cha kupoteza ndio maana kaliweka wazi hilo. Tena inawezekana jamaa Madee alikuwa anamkaza huyo bibie hapo hapo nyumbani wake (yaani nyumbani kwa Shilole) sasa Dogo angefanyaje!?
Aiseeeee anayeongelewa hapa ni Madee sio Mdee.Niliambiwa mh halima mdee ni zaidi ya kaster semenya kitambo sana anawagegeda wenzake at hata buraya
Utoto tu na aliji changanya pabaya mahaba gani mtoto wa kiume una kula makofi mbele ya hadhara kisha unadai ndio raha ya mapenzi.Dogo alichora hadi tatoo ya jina la Shishi kwenye makalio...mahaba uchwara ma,ma..ee