Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu Wakenya wengi hawana address wengi waliokua wanapeleka bidhaa Kenya wametapeliwa sana na wengine walikopa Bank wale jamaa watu wanafanya nao biashara ya kuchukua bidhaa kwao na si kupeleka kwao na ndio maana sasa hivi wanakuja wenyewe kuchukua bidhaa zinazohitajika kwao...Mi nafikiri bora kutoa kitu bongo kupeleka Kenya maana wana sh. Nzuri mfano 500ksh ni 11500Tsh, hapa tz kwa mchuhuzi unaweza chuhuza viatu vya kike vile vya 4000, 6000, 8000, 10000 hii ni bei ya jumla afu unauza kenya rejareja na getini unalipia... Hi inaeza lipa kwa mtu ukinunua kiatu 4000Tsh Kenya unauza bei ya 400ksh sawa na 9250 ya hapa tz. Yaani hata 350 bado inalipa Kenya viatu hivo wanauza 500ksh wewe uza 350ksh vunja bei