Kumbe mafuta ya kula kenya ni cheap

Kumbe mafuta ya kula kenya ni cheap

Mi nafikiri bora kutoa kitu bongo kupeleka Kenya maana wana sh. Nzuri mfano 500ksh ni 11500Tsh, hapa tz kwa mchuhuzi unaweza chuhuza viatu vya kike vile vya 4000, 6000, 8000, 10000 hii ni bei ya jumla afu unauza kenya rejareja na getini unalipia... Hi inaeza lipa kwa mtu ukinunua kiatu 4000Tsh Kenya unauza bei ya 400ksh sawa na 9250 ya hapa tz. Yaani hata 350 bado inalipa Kenya viatu hivo wanauza 500ksh wewe uza 350ksh vunja bei
Mkuu Wakenya wengi hawana address wengi waliokua wanapeleka bidhaa Kenya wametapeliwa sana na wengine walikopa Bank wale jamaa watu wanafanya nao biashara ya kuchukua bidhaa kwao na si kupeleka kwao na ndio maana sasa hivi wanakuja wenyewe kuchukua bidhaa zinazohitajika kwao...
 
Address kivipi boss
 
Address kivipi boss
Nazungumzia Address ya makazi ya kudumu wengi unakutana nao Nairobi ila sio wakaaji wa Nairobi wakishatapeli wanarudi makwao tofauti na Tanzania ukimkuta mfanyabiashara Mbeya,Dar au Kilimanjaro ni mkazi wa maeneo hayo mfumo wa TIN unatubana wao hawabanwi na hivi ni matapeli hao jamaa hatari ndio maana ni rahisi na salama kununua mzigo kwao ila sio kuuza..Arusha watu wengi ni wabishi sana ila wameliwa vichwa na hao tena wengine wametafuniwa hadi mikopo ya Bank...
 
Okay mi nafanya nilipe nisepe na mi niko hapa mpakani kabisa
 
Hapo utafanikiwa kwa kufanya nao biashara hao watu ni shida Mimi ni mzoefu wa mipaka mingi sijui Tarakea,Holili,Namanga,Tunduma,Sumbawanga mpaka huko Kasumulu mimi mipaka ya Rwanda,Burundi na Uganda sijapita kibiashara...kuna mwaka nilipakia mahindi Swanga nikaenda kulipwa Holili hapo na msomali alidhani ataniacha kirahisi kumbe mimi nawajua vizuri...
 
Wale wasomali ni matapeli kwelii, afu hiyo mipaka ya Rwanda, Burundi iko easy Basi ukijaribu huko utawin
 
Dereva wangu alidai msomali anapiga mkeka sana ikifika muda anaomba gari isimame apige mkeka na Mbeya alilipa nusu akadai gari ikifika Moshi anachukua nusu amalize akashushiwe tuu kufika Moshi anamwambia mpaka Holili wamefika Holili yeye ndio anamlipia kila kitu Dereva anamwambia asiwe na shida wachukue vibali gari ikashushe tuu atalipwa huko huko alipinipigia simu nikamwambia unatapeliwa akulipe hapo hapo usitoe gari msomali alivyoona dili limebuma ikabidi aende Nairobi aje na mteja wakauziana mzigo ukiwa kwenye ghara ilibidi Mimi ndio nikamalize mchezo kwa kusafiri maana nikawaambia washushe ghara lolote alipie kwa siku kadhaa msomali alichemka na mbinu yake mbovu...
 
Back
Top Bottom