Kumbe mafuta ya kula kenya ni cheap

Kumbe mafuta ya kula kenya ni cheap

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Salaam! Ila ndiyo ivyo import pale getini iwe namanga, iwe holili, iwe tarakea wanazingua geti la tz TRA wameeka utaratibu siyo yaani sijui tupite njia za panya, hivi yupo anaye zifahamu njia za panya huko nasikia tarakea ndio simple kucross Ila wale mgambo wakikushika ni kipigo wanasema umebeba bangi au miraa japo ukipita na wenyeji wa pale unaweza salimika lakini ndiyo ivo tena kumpata mwenyeji muaminifu nayo kazi wale wana ukora sana.
 
sijaelewa,labda mafuta ya vaseline,hizi njia za panya za mpakani,ni hizi kama tulizokua tunachimba kule mexico chini kwa chini unaibukia marekani ndani ya mansion?
 
Salaam! Ila ndiyo ivyo import pale getini iwe namanga, iwe holili, iwe tarakea wanazingua geti la tz TRA wameeka utaratibu siyo yaani sijui tupite njia za panya, hivi yupo anaye zifahamu njia za panya huko nasikia tarakea ndio simple kucross Ila wale mgambo wakikushika ni kipigo wanasema umebeba bangi au miraa japo ukipita na wenyeji wa pale unaweza salimika lakini ndiyo ivo tena kumpata mwenyeji muaminifu nayo kazi wale wana ukora sana.
Mafuta ya Rays au?
 
Come on sitaki kuamini kama wote mumeshindwa kusoma title au heading ya thread, nimeandika mafuta ya kula au kizungu ni edible oil, kuweni tu makini.... Tanzania ni moja ya watu ukiweka ujumbe kwenye maandishi umewakimbiza wasisome then watakublame why hujafanya, simply tunataka shortcuts.....
 
Ukitaka kupoteza na ulichonacho ni kuwakimbia TRA...mafuta ni chakula TFDA wanahusika nadhani na TBS na ili uweze kulipia lazima upate vibali kutoka kwa hao TFDA na TBS shida sio kodi tatizo ni kupata hivyo vibali Kenya vitu vingi vipo bei ndogo tofauti na Tanzania wana viwanda vingi na mfumo wa kuingiza bidhaa kutoka nje pia sio wa kuumizana kama Nchi zingine...TRA utaweza kuwakwepa Mara chache ila siku wakikukamata hesabu maumivu yote na kwa nini uwakwepe wakati zipo bidhaa nyingi ambazo haziitaji vibali ni kulipia na kuondoka kutoka huko Kenya...
 
Mfano kama bidhaa gani ambayo haitaji vibari
 
Duuh of course Kikwete was the bae.
 
Duuh of course Kikwete was the bae.
Enzi za Mh.Kikwete mambo ya vibali kwa ubora wa bidhaa ilikuepo ila sio kama sasa hivi kipindi kile walizingatia sana ulipe kodi ukikutana nao TFDA bara barani ilikua ishu ndogo sio sasa hivi TRA ili ukadiliwe kodi wanahitaji hivyo vibali kwanza malizana nao huko ndio ulipie kodi niliwahi leta mafuta ya mgando nilitegemea ntapata vibali Tunduma au Dar kwa siku chache haa nilipoenda Dar ni ishu ya miezi mitatu na gari lipo upande wa Nakonde nilipopeleka TRA kodi yao ni ndogo tuu kwa box zote ilikua kama million kumi tuu ila nilikosa vibali kwa wakati ikabidi nigeuze gari nikauzie Lusaka kwa wahindi na niliuza...mafuta yenyewe sasa hivi wengi wanaleta ni Crez ya mgando..
 
Mfano kama bidhaa gani ambayo haitaji vibari
Nguo zote haziitaji vibali ni kodi tuu nimeona watu wanaleta steel wire pia wanalipia kodi tuu,Pipi Kenya zipo nyingi viwanda vya waturuki waliopo South na Kenya wapo ila hizi pipi zinahitaji vibali na kodi na ni biashara yenye faida kwa bei nilivyoona Kenya na South kuna tofauti kubwa watu wanaouza Arusha tuu wanapata faida sasa ukiweza kupeleka mikoa mingine itakua bei nzuri zaidi...
 
Unaweza nipa Abc jinsi bei yao ilivyo,na nikiichukua na kuileta huku bei yake ni kiasi gani
 
Mkuu nina uhakika kuwa hivyo vitu vipo bei ndogo Kenya Mimi sinunui vitu Kenya ila watu wengi nawafahamu wanaenda kubeba mzigo Kenya na kuna bidhaa nyingi tofauti na wengine wanaenda hadi Uganda...
 
Ukitaka kupoteza na ulichonacho ni kuwakimbia TRA...mafuta ni chakula TFDA wanahusika nadhani na TBS na ili uweze kulipia lazima upate vibali kutoka kwa hao TFDA na TBS shida sio kodi tatizo ni kupata hivyo vibali Kenya vitu vingi vipo bei ndogo tofauti na Tanzania wana viwanda vingi na mfumo wa kuingiza bidhaa kutoka nje pia sio wa kuumizana kama Nchi zingine...TRA utaweza kuwakwepa Mara chache ila siku wakikukamata hesabu maumivu yote na kwa nini uwakwepe wakati zipo bidhaa nyingi ambazo haziitaji vibali ni kulipia na kuondoka kutoka huko Kenya...
 
Mkuu nina uhakika kuwa hivyo vitu vipo bei ndogo Kenya Mimi sinunui vitu Kenya ila watu wengi nawafahamu wanaenda kubeba mzigo Kenya na kuna bidhaa nyingi tofauti na wengine wanaenda hadi Uganda...
Mi nafikiri bora kutoa kitu bongo kupeleka Kenya maana wana sh. Nzuri mfano 500ksh ni 11500Tsh, hapa tz kwa mchuhuzi unaweza chuhuza viatu vya kike vile vya 4000, 6000, 8000, 10000 hii ni bei ya jumla afu unauza kenya rejareja na getini unalipia... Hi inaeza lipa kwa mtu ukinunua kiatu 4000Tsh Kenya unauza bei ya 400ksh sawa na 9250 ya hapa tz. Yaani hata 350 bado inalipa Kenya viatu hivo wanauza 500ksh wewe uza 350ksh vunja bei
 
Mkuu Wakenya wengi hawana address wengi waliokua wanapeleka bidhaa Kenya wametapeliwa sana na wengine walikopa Bank wale jamaa watu wanafanya nao biashara ya kuchukua bidhaa kwao na si kupeleka kwao na ndio maana sasa hivi wanakuja wenyewe kuchukua bidhaa zinazohitajika kwao...
 
Back
Top Bottom