rumplelstiltskin
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 233
- 339
Hongera kwa kugundua welcome to the world
Ushauri mzuri!Nashauri hivyo vitu vyote ulivyonavyo uvigawe ili uanze kukaa kwa mjomba tena ndo utaelewa.
Yani umeingia mjini 2014 leo hii una mafanikio makubwa hivyo tusaidiane idea mkuu
Miaka sita ni mingi ndugu.Yani umeingia mjini 2014 leo hii una mafanikio makubwa hivyo tusaidiane idea mkuu
Ndugu zile ni zaidi ya tani 2 za udongoBinadamu huwa haridhiki, mpaka alazwe pale chini kisha afunikwe na zile tani mbili za udongo, hapo ndio kwisha.
Habari zenu?
Nakumbuka 2014 kipindi naingia Dar es salaam rasmi kutafuta maisha nilitamani angalau nami ifike siku niwe nimepanga hata chumba cha giza.
2015 nikapanga chumba Keko cha 30. Muda kidogo nikapanga cha 35, then nikapanga chumba na sebule kwa 100k. Then nikanunua viwanja na nimejenga nyumba 2 moja Pugu na nyingine Mvuti Ilala.N Nimenunuapikipiki na sasa gari ya kutembelea.
Vyote hivyo bado naona kama sina kitu, sina utofauti na kipindi kile nimekuja Dar naishi kwa ndugu kwa masimango.
Nilichogundua maisha ni yaleyale, hata uwe na nini huna utofauti na yule ambaye anaishi mtaroni.
Kila hatua unayoifikia utaiona nothing na utatamani hatua imayofuata, huo ndio mchezo utakaoufanya until you die.
Binafsi nitaendelea kufanya kazi ila sitahangaika au kupaparikia maisha.
Jiulize bilionea kama Mo Dewj and so bado wanaendelea kusaka fedha.
Duuuuh
Mkuu unasumbuliwa na pepo tamaa!Habari zenu?

Kuna kitu tunatafuta,tukikipata tunapata amani,kitu hicho ni salama ya maisha baaba ya kufa.je wajua ni nini?mimi siku niliona mo akichukua bodaboda awahi job maana gari inamchelewesha kwenye foleni...niliona huenda kile tunakitafuta sicho maisha yanataka..
View attachment 1631193
Ndio maana unapaswa kujua kwamba hapa duniani si makazi yetu ya kudumu,tupo safarini,so jiandalie na kule tunakoendaInshort kifo kinapoteza maana ya maisha kabisa. Imagine mtu unafanya yoote hayo afu mwisho wa siku unakuja kufa kizeembe.
UmeshanielewaNdugu zile ni zaidi ya tani 2 za udongo