Kumbe maisha ni bure kabisa, kuanzia leo sitajisumbua kwa lolote

Kwaiyo wewe unajiona sawa na mtu anaelala mtaroni...

Kweli umeshindwa kushukuru kabisa
 
Binadamu huwa haridhiki, mpaka alazwe pale chini kisha afunikwe na zile tani mbili za udongo, hapo ndio kwisha.
 
Kujenga pugu na mvuti we bado masikini njoo ujengu huku bunju au mbezi beach jomba
 
Kuna nyakati unaona kabisa life's meaningless. Utafute kwa tabu, uamke alfajiri na kulala late lakini pata ugonjwa matata utakuja kuniambia, life's just meaningless at times. In the end, yale uliyofanikiwa kuyatafuta, mali ulizochuma utaziacha na watafaidi wengine.

I can imagine mtu amelazwa Muhimbili, kila siku anaulizia vipi biashara inaendaje, nyumbani pako vizuri nk, then all of a sudden anaambiwa achana na kuulizia hizo biashara, concentrate na afya yako, meaning the man is going down slowly ila kwa uhakika, hapo ndio unapojua kumbe umemaliza safari unakaribia kuwaachia wengine.

Sad sad!!
 

Mkuu ukihamia mvuti tuchekiane mimi jirani yako nipo kitonga
 
Mkuu unasumbuliwa na pepo tamaa!
 
Jitahidi sasa ununue ndege ya kutembelea,uwe unaenda kula bata new york,dubai,macao kila ukijisikia,
Kisha sasa gombea urais 2025 ili sasa uwe na power,,ya nani aishi,nani afe,nani aneemeke,nani afulie,nani asote jela,nani awe huru etc
 

mimi siku niliona mo akichukua bodaboda awahi job maana gari inamchelewesha kwenye foleni...niliona huenda kile tunakitafuta sicho maisha yanataka..




View attachment 1631193
Kuna kitu tunatafuta,tukikipata tunapata amani,kitu hicho ni salama ya maisha baaba ya kufa.je wajua ni nini?
 
Inshort kifo kinapoteza maana ya maisha kabisa. Imagine mtu unafanya yoote hayo afu mwisho wa siku unakuja kufa kizeembe.
Ndio maana unapaswa kujua kwamba hapa duniani si makazi yetu ya kudumu,tupo safarini,so jiandalie na kule tunakoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…