Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,984 Reaction score 189,583 Nov 21, 2020 #41 Moyo wa binadamu haiwezekani ukaridhika hata siku moja.
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,067 Nov 21, 2020 #42 Hata wanawake Ni hivyo hivyo. Unamtamani, anakuzungguusha lkn ukishampata anakua wa kawaida sana Tena wengine Ni chini ya viwango. Ndio maana ninae huyo huyo miaka nenda
Hata wanawake Ni hivyo hivyo. Unamtamani, anakuzungguusha lkn ukishampata anakua wa kawaida sana Tena wengine Ni chini ya viwango. Ndio maana ninae huyo huyo miaka nenda
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,807 Reaction score 16,477 Nov 21, 2020 #43 Vyote ni ubatili na kujilisha upepo.