Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

DAGHI

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
186
Reaction score
401
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
 
Najua sana, ila huwa nakua makini kuzungumza ovyo ovyo kwani si kila mtu anaweza kuelewa hasa hizi zama ambazo kila mtu anajifanya mjuaji. Kumbuka usemi wa Mastermind mkuu Yesu Kristo kuwa,"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua".
 
Kama unaamini Kuna Uchawi Kwa maana ya Negative energy, basi pia ipo na Positive energy maana ya Nguvu za Mungu....!

Hasira, Huzuni kupita Kiasi, Hofu, vinafanya hata ulinzi wa Kimungu ukae pembeni, na hapo ndo Watu wanaweza kushambuliwa ama na Evil spirits, Wachawi n.k.

Ni sawa tu na kutenda Dhambi kama Uzinifu na Dhambi zingine, zinaondoa ule Ulinzi wa Mungu kwako na Unaweza kushambuliwa Vizuri Sana katika Ulimwengu wa Roho...!

Ndo Biblia imekataza Watu kuommboleza kupita Kiasi, japo Lugha inayotumika ni kwamba "Usilie Sana... Unamkufuru Mungu" n.k.

Biblia pia imekataza Watu kujizuia na Hasira kupita Kiasi...! Hata Kwa Wachungaji wenye Upako wao siku wakashindwa kujizuia na Hasira hafu the.n ikawa Jumapili siku ya Ibada, Upako wote unaondoka...!
That's why Most of Pastors wapo humble.

Binadamu ana njia nyingi Sana ambazo Wachawi na Majini wanaweza kuingia kumshambulia, na Maisha ni Spirit, na kila Shambulio kwa Binadamu linaanzia kwenye Ulimwengu wa Roho, then ndo linakuja kujitokeza kwenye Ulimwengu huu wetu.
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao..kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency. PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
frequences na vibrations zinamata lakin, kufikia kiwango cha vibration kubwa kiasi cha wachawi akikuona anabadili njia sio rahisi hata kidogo, pia hao majini jana rank zake lakin majini wengi ni dhaifu, watchers ndo hatari sana na wale walio dhaliwa nao damuni yani hybrids
 
Najua sana, ila huwa nakua makini kuzungumza ovyo ovyo kwani si kila mtu anaweza kuelewa hasa hizi zama ambazo kila mtu anajifanya mjuaji. Kumbuka usemi wa Mastermind mkuu Yesu Kristo kuwa,"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua".
We jamaa una kitu...nitaku PM
 
Hewaaa
frequences na vibrations zinamata lakin, kufikia kiwango cha vibration kubwa kiasi cha wachawi akikuona anabadili njia sio rahisi hata kidogo, pia hao majini jana rank zake lakin majini wengi ni dhaifu, watchers ndo hatari sana na wale walio dhaliwa nao damuni yani hybrids
haya madini tunayahitaji
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Huu ni ukweli usiopingika ila haya ni maarifa yanayohitaji akili sana sio za ushabiki wa simba na yanga
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Naukilewa unakua frequency ya ngap? na vipi kuhusu dhambi maana dhambi inakatazwa na din nying ukiwa mdhambi frequency zinakuaje
 
Back
Top Bottom