sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Ego unaeza ishinda kwa kujilazimisha kua na upendo kamili(usio na masharti)
1wakorintho13:4
"upendo huvumilia, hufadhili, hauhusudu, hautakabari wala haujivuni.
Wakolosai3:14
"jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.
Ukiwa na upendo ego utaishinda kirahisi.
Yes upendo ndio dawa yake.