kumbe na wewe unayajua haya mamboHayo mambo ya low frequency,high frequency,positive na negative energies ni elimu ya juu sana,usitegemee uzi wako kupata wachangiaji.
uhakika..Unauhakika?
frequences na vibrations zinamata lakin, kufikia kiwango cha vibration kubwa kiasi cha wachawi akikuona anabadili njia sio rahisi hata kidogo, pia hao majini jana rank zake lakin majini wengi ni dhaifu, watchers ndo hatari sana na wale walio dhaliwa nao damuni yani hybridsKnowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao..kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency. PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Yuko sawa sema sio rahis,Jichanganye
Its a mockery to give a mirror to the blind.Hii elimu ni ya juu sana ndugu ili uelewe lazima uwekeze muda wa kutosha kutafta hii elimu.Hayo mambo ya low frequency,high frequency,positive na negative energies ni elimu ya juu sana,usitegemee uzi wako kupata wachangiaji.
Kule Handeni kuna Wachawi akiangalia mboga tu inachacha hapohapoWatu wana furaha na wanaingia kwenye 18 za wanga...
Mtoto hata hajazaliwa na bado anachezea kimbola kama kawaida...
We jamaa una kitu...nitaku PMNajua sana, ila huwa nakua makini kuzungumza ovyo ovyo kwani si kila mtu anaweza kuelewa hasa hizi zama ambazo kila mtu anajifanya mjuaji. Kumbuka usemi wa Mastermind mkuu Yesu Kristo kuwa,"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua".
haya madini tunayahitajifrequences na vibrations zinamata lakin, kufikia kiwango cha vibration kubwa kiasi cha wachawi akikuona anabadili njia sio rahisi hata kidogo, pia hao majini jana rank zake lakin majini wengi ni dhaifu, watchers ndo hatari sana na wale walio dhaliwa nao damuni yani hybrids
Huu ni ukweli usiopingika ila haya ni maarifa yanayohitaji akili sana sio za ushabiki wa simba na yangaKnowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.
PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Naukilewa unakua frequency ya ngap? na vipi kuhusu dhambi maana dhambi inakatazwa na din nying ukiwa mdhambi frequency zinakuajeKnowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.
PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..