Ego unaeza ishinda kwa kujilazimisha kua na upendo kamili(usio na masharti)
1wakorintho13:4
"upendo huvumilia, hufadhili, hauhusudu, hautakabari wala haujivuni.
Wakolosai3:14
"jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.
Ukiwa na upendo ego utaishinda kirahisi.
Umepimaje kwamba hatuwezi ifikia, bado hujui ukuu wako. Yeyote anaweza kuwa the greatest if ataji-commitWaganga ulaya wapo mkuu hawapo kama walivyo waganga wa africa ila wapo wanatibu na kupiga ramli ambayo waafriika wenyewe hawaifikii.
Sijasema hatuwezi kuwafikia bali njia wanayotumia wao ni tofauti na sisi tunavyofanya kwahiyo issue sio kwa sababu ya uzungu wao bali hata sisi tunaweza kufanya kama wafanyavyo wao.Umepimaje kwamba hatuwezi ifikia, bado hujui ukuu wako. Yeyote anaweza kuwa the greatest if ataji-commit
Kitendo cha kusema INATISHA tayari umeshajiongezea hofu , kitu ambacho si kizuri. Jitengenezee maneno yako binafsi ya kujiondolea HOFU ambayo utakuwa ukiyatamka daily na kuyatumia kila utakapo kutana ma mazingira ya kukutia hicu, utaina mambo yanabadilika. "Always what you think is realy becomes your reality"Trust me humu pia wanga wamo tena wanasoma replies na wanaelewa haya mambo. Inatisha
Nami nahitaji mkuuNi elimu Pana Sana kwanza Unatakiwa Uanze Basic kabisa za Elimu ya Spirituality..
NA Vitabu viko vingi sana Kuna Kipindi Nilikuwa anavishare Humu ni kama Miezi sita au Nane imepita kama sio Mwaka..
Ila Mazingira Hayakuwa mazuri ya Kushare vitabu hivyo nitakutafuta Inbox na Nitakutumia Mwenyewe Vitabu Vyote kuanzia Vya Basic Mpaka Hatua za juu..
mkuu habari, naweza kupata hivyo vitabu pia?Ni elimu Pana Sana kwanza Unatakiwa Uanze Basic kabisa za Elimu ya Spirituality..
NA Vitabu viko vingi sana Kuna Kipindi Nilikuwa anavishare Humu ni kama Miezi sita au Nane imepita kama sio Mwaka..
Ila Mazingira Hayakuwa mazuri ya Kushare vitabu hivyo nitakutafuta Inbox na Nitakutumia Mwenyewe Vitabu Vyote kuanzia Vya Basic Mpaka Hatua za juu..
Hujawafuatilia tu wazungu wao wanakwambia kila mtu ana spirit guide wake(jini) na huweza kumtumia jini huyo kukupa information mbalimbali, wanakwenda mbali zaidi wanaongea hadi na watu waliyokufa.Hayo madude wanayajua waarabu na wabongo wanaoiga Mila za kiarabu