Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Safi sana Huu ndio Ukweli..
 
Kuna ukweli ndani ya hili ukiwa muoga ni rahisi sana kuingilika.Mfano kwenye kutoa mapepo mnaweza kuwa saba ila ikiwa mmoja ni muoga pepo litamtoka linayemsumbua na kumuingia aliyemuoga au mwenye shida rohoni.Marekani kuna kesi moja ilitokea mtu alikuwa possessed katika maombi yule mtu mmoja akawa anasema kama lina nguvu liniingie basi mimi.Baada ya maombi aliyekuwa anasumbuliwa alikaa sawa wakajua kesi imeisha.Shida ikaanza kwa aliyetamka yale maneno,alianza kubadilika kadri ya siku kuwa na hasira nk na mwisho wa siku alikuja kuua.Alikuja kuepuka kifungo baada ya wana maombi kutoa ushahidi mahakamani.Kwa wale wanaosoma kesi Za Edward na Lorein Warren.Hivyo hofu,kutokuwa msafi rohoni,kumchallenge hizi pia ni factors za kujaribiwa
 
ni kweli hata kazi ya kutoa mapepo harusiwi kila mtu manake unaweza kutoa mawili yanarudi zaidi ya 20..
 
Haka kauzi lengo ni kutuvuruga na misamiati yake ya frequencies pamoja na energies.

Kwa lugha nyepesi hapo ni kwamba, ukiwa mtenda dhambi, mtu wa kujikatia tamaa, mpweke, una hasira (hasira hasara), n.k ndo utavamiwa na mapepo, majini pamoja na wachawi. Lakini ukiwa mtu wa dini hakuna chochote kitakachokuathiri
 
Its a mockery to give a mirror to the blind.Hii elimu ni ya juu sana ndugu ili uelewe lazima uwekeze muda wa kutosha kutafta hii elimu.
Umekazania kusema ya juuya juu,, kama huwez kutoa elimu basi acha kukoment , tujue unajua kwamba unajitapa ama vip, watu mnaojifanya mnajua mambo haya mnakuaga na maringo sana mtafikiri nyie ndio mnaijua dunia nje ndani..
Bora hata kwa ambao hua wana shea knowledge zao ,, sasa kuja mbio unajitapa ooh hizo mambo sjui ni mazito, sio sjui kuongea ongea sjui bla bla..[emoji706]
 
Nakumbuka kuna movie nilishaiona miaka ya nyuma inakisa hicho;

Ila yenyewe inamhusu padri wa kizungu na dinti aliyekuwa na tatizo la kupandwa na mapepo
 
Unaposema low and high frequency Kuna watu humu hawaelewi,, by the way Ili Uweze kuwa high frequency ni ufanyaje fanyaje endapo ata mtu akitaka Kuku dhuru ishindikane kama ulivo tangulia kusema
frequency yako ili ikae juu jaribu kufeel emotion zenye vibrations za juu muda wote.....ona hii pic
 

Attachments

  • aaa.PNG
    154.8 KB · Views: 11
DR Mambo Jambo toa ufafanuzi kidogo coz wewe una elimu zote za dunia yaani za kimwili na kiroho.
Hii nimeshaizungumzia Sana Mpaka humu Huwa wananiita conspiracist..
Kuhusu Energy possitive,Negative ,lowest na Highet nilishapiga Kelele sana..

kwa Kuongeza Jinsi Unavyoweza Kucontrol Frequency ndo Jinsi Unavyoweza Kuwa Na Hali ya Utambuzi wa Juu kuliko wengine..
councious Level Inahusisha Utambuzi wa Frequencies na Energy unajua Wakati gani U resonate na Energy ipi na Mahali gani....

Hii chart Hapa Chini Inaelezea Level Nyingu sana na Elimu nyingi kwenye Chart moja
 
Hayo mambo ya low frequency,high frequency,positive na negative energies ni elimu ya juu sana,usitegemee uzi wako kupata wachangiaji.
Mkuu nakumbuka nilisoma kitabu cha SATAN AN AUTOBIOGRAPHY kuna mahali yalisemwa haya aliyoyasema OP..... Sisi tupo kwenye 10th dimension hao viumbe wapo chini yetu kwenye 11th dimension.., na kilisema kuwa kupitia matendo yetu maovu tunakuwa tunahamisha energy kuelekea 11th dimension hence feeding the demons,.

hakika kuna mengi ya kujifunza..

mkuu nikuombe kitu, unaweza kurecommend vitabu vinavyohusu haya mambo? Natanguliza shukrani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…