Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

Ujinga umefika Level ya Juu sana katika Nchi hii
 
Shigongo vipi? Sijampata vizuri sawa sawa hapo kwenye global publisher
 
Nawew ukiwa mmoja wao ama unajitoa?
Usitoe povu, ujinga sio tusi bali ni kutojua au kufahamu jambo..kwa maana nyingine ni upeo mdogo wa uelewa wa Mambo. Mfano wewe katika uzi wako umeonesha level ya hali ya juu sana ya Ujinga sababu ya kutoelewa kuwa Kampuni humilikiwa na wenye Hisa..na kwa Mtu uliemzungumzia kwa idadi ya hisa anazomiliki ni mmiliki kabisa tena mkubwa! Nadhani kwa maelezo haya Ujinga katika mambo ya Hisa na umiliki wa Kampuni utakuwa umekutoka kidogo.
 
Mwanaume anakuwa na wivu na wanaume mwenzio

Na kama sikosei wewe ni miongoni mwaka wanaume wanaoishi kwa shemeji zao
 
Nashukuru kuja kuonyesha ujinga wako na wewe pia kwa kutokujua nilichokua namaanisha lengo uonekane mjuaji mbumbumbu
 
Nashukuru kuja kuonyesha ujinga wako na wewe pia kwa kutokujua nilichokua namaanisha lengo uonekane mjuaji mbumbumbu
Yaani kama ingekuwa ulingoni kwenye Boxing we ushatolewa KO muda mrefu sanaa...yaani unajaribu kunyanyuka ila unadondoka tena. Uzi wako ulioanzisha umekusaidia unione jinsi gani ulivyo na ujinga katika kuyafahamu mambo. Kuwa mpole tuu hii nyuzi umechemsha Big Time.
 
Unahisi wote wacheza boxing? Inaonyesha kichwa chako kina mtikisiko wa ngumi ndio maana unawaza kutumia upande wa pili
 
Unahisi wote wacheza boxing? Inaonyesha kichwa chako kina mtikisiko wa ngumi ndio maana unawaza kutumia upande wa pili
Nazidi shuhudia Ujinga wako hata katika kutoelewa mifano...yaani ni Ujinga wa Level ya ajabu...
 
Entertainment Masters(wenye E-FM,TV E,maisha club n.k) ni kampuni ya familia ya hao kina Ciza.Hakuna cha kushangaa hapo.
Mkuu hebu jaribu kuchimba jina halisi la majizo, tulioanza nae mtwara tunamjua kwa kina la Rashid
 
Baada ya kuiunguza masaki wakagawana mbao lkn akina majizo wakiendelea na jona la maisha maza akataka mgao kwa sababu ya jina, ndo wakaamua kukosa wote na kuiita LIFE PARK
 
Baada ya kuiunguza masaki wakagawana mbao lkn akina majizo wakiendelea na jona la maisha maza akataka mgao kwa sababu ya jina, ndo wakaamua kukosa wote na kuiita LIFE PARK
Hapana, ili ilikuwa ni trick ya kibiashara tu chief jamaa ili wapige pesa ndo maana baada ya marekebisho ikaitwa new maisha club kabla ya kuhamia LAPF na kuitwa maisha basement na sasa life club ila za mikoani zote bado zinaitwa new maisha club
Yule mama mtoto wake wa kiume alikuwa rafiki sana wa majey na ndio chanzo cha majey kupata shavu ila hajawahi kuwa mmiliki japo upande wa pili inasemekana alikuwa anatoka na huyo maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…