Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

Mara kibao anasema au wew hujawahi msikia? Mm yangu yapo sawa ndio maana napata mda wakupuyanga na huko kusaka ya wengne
1. Majizzo ana 40% kwahyo akisema kampuni ya kwake hakuna tatizo sababu ndio ana hisa nyingi.
2. Huyo mwingine mwenye 40% anaweza miliki na akawa silent partner asijihusishe popote mradi mzigo wake unasoma bank!.
3. Kampuni inamilikiwa na Familia yawezekana kimaamuzi wameamua Majizzo awe mmiliki mkuu/Msemaji/Muongozaji.
4. Yawezekana hao wengine wameandikwa kama geresha kupoteza boya, ukiwa na biashara ungeyajua hayo!.
Pa maswali ni hapo kwa shigongo!
Huu ni mfano pia: JF kuna mtu anaitwa Mike Mushi nae ni JF founder lakini Media zinamtaja zaidi Maxence Mello.
 
Hapo kwa shigongo na mimi ndo sijaelewa kabisa
 
Sasa hapo chakushangaza ni nini haswa

Kajifunze elimu ya hisa
 
Hayo majina ya hao akina majizo yanonesha ni wa asili ya either Burundi, Rwanda au DRC Jean Claude, Antoine, Ciza sijui ni Chiza aisee Bongo wakimbizi ni wakutosha
Hv majizo kumbe siyo jina rasmi. Anaitwa nani jina lake rasmi?
 
Entertainment Masters(wenye E-FM,TV E,maisha club n.k) ni kampuni ya familia ya hao kina Ciza.Hakuna cha kushangaa hapo.
 
Sasa hapo chakushangaza ni nini haswa

Kajifunze elimu ya hisa
Wewe duniani hapa huwezi kujua vyote halafu soma mada uelewe sio kila mada mradi uonekane umetia neno hata kama bovu
 
hiyo radio yaweza kuwa yake kwa 100% ila katawanya hisa kwa wanafamilia kwa manufaa anayoyajua yeye.
 
0C9F94EF-8267-43B0-8972-327FC7191212.png
AE4FC981-774F-4211-837D-EF931B196F4C.png
Entertainment Masters(wenye E-FM,TV E,maisha club n.k) ni kampuni ya familia ya hao kina Ciza.Hakuna cha kushangaa hapo.
Umechanganya chief maisha club ilikuwa ya mama mmoja anaitwa helen sweya ambaye alikuwa marketing manager wa tbl enzi hizo majizo wanadai alikuwa mtu wake wa pembeni tu ila nahis majizo alitumia mwanya ule kutoka nayeye kivyake ila kwa kuendelea kutumia jina la emaster
Na mama sweya alikuwa na kijana wake wakiume yule alikuwa anatembea na discover 4 ambaye alikuwa rafiki sana wa majizo nayeye hapo kwenye share holder hayupo
 
Kwa hiyo miaka yote hii Shigongo sio mmiliki wa Yale magazeti ya udaku?

Kumbe kuna mengi ebu lete na mmiliki wa Clouds media tuone Ruge kama anahusika
 
Back
Top Bottom