Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
1. Majizzo ana 40% kwahyo akisema kampuni ya kwake hakuna tatizo sababu ndio ana hisa nyingi.Mara kibao anasema au wew hujawahi msikia? Mm yangu yapo sawa ndio maana napata mda wakupuyanga na huko kusaka ya wengne
2. Huyo mwingine mwenye 40% anaweza miliki na akawa silent partner asijihusishe popote mradi mzigo wake unasoma bank!.
3. Kampuni inamilikiwa na Familia yawezekana kimaamuzi wameamua Majizzo awe mmiliki mkuu/Msemaji/Muongozaji.
4. Yawezekana hao wengine wameandikwa kama geresha kupoteza boya, ukiwa na biashara ungeyajua hayo!.
Pa maswali ni hapo kwa shigongo!
Huu ni mfano pia: JF kuna mtu anaitwa Mike Mushi nae ni JF founder lakini Media zinamtaja zaidi Maxence Mello.