D
Deleted member 485868
Guest
Aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo rafki yake sana na majey ndo huyo Claud, na pia hlo jina la Francis kajipa tu sio jina lake halisiHapana, ili ilikuwa ni trick ya kibiashara tu chief jamaa ili wapige pesa ndo maana baada ya marekebisho ikaitwa new maisha club kabla ya kuhamia LAPF na kuitwa maisha basement na sasa life club ila za mikoani zote bado zinaitwa new maisha club
Yule mama mtoto wake wa kiume alikuwa rafiki sana wa majey na ndio chanzo cha majey kupata shavu ila hajawahi kuwa mmiliki japo upande wa pili inasemekana alikuwa anatoka na huyo maza
WASAFI TV mbona sioniiView attachment 804610 halafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa?
aka2030 aaaaaf jua kwamba huyo Hellen ni mama yake Piijei wa Clouds FM
Nashukuru sikuwa nakifahamu jina lakeJina lakr Francis Majizo Ciza
Sio mama ake,ni ndugu yake hapa mkuu kdg rekebisha,au ulimaanisha mama ake kiaje?aka2030 aaaaaf jua kwamba huyo Hellen ni mama yake Piijei wa Clouds FM
Hata mama ni mojawapo ya ndugu pia Mkuu, rekebisha wewe,Sio mama ake,ni ndugu yake hapa mkuu kdg rekebisha,au ulimaanisha mama ake kiaje?
OK OK OKHata mama ni mojawapo ya ndugu pia Mkuu, rekebisha wewe,
Au na wewe ulimaanisha ndugu wa aina gani