Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

Hapana, ili ilikuwa ni trick ya kibiashara tu chief jamaa ili wapige pesa ndo maana baada ya marekebisho ikaitwa new maisha club kabla ya kuhamia LAPF na kuitwa maisha basement na sasa life club ila za mikoani zote bado zinaitwa new maisha club
Yule mama mtoto wake wa kiume alikuwa rafiki sana wa majey na ndio chanzo cha majey kupata shavu ila hajawahi kuwa mmiliki japo upande wa pili inasemekana alikuwa anatoka na huyo maza
Mkuu huyo rafki yake sana na majey ndo huyo Claud, na pia hlo jina la Francis kajipa tu sio jina lake halisi
 
Ila kitu kimoja ninachojua Tanzania, asilimia zaidi ya 50 ya makampuni yanaonesha wamiliki ambao kiuhalisia siyo wamiliki...

Kuna kitu kinaitwa Nominal Shareholding, nadhani kinatumika sana na kinaficha true identity ya wamiliki halali.
 
Back
Top Bottom