Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Hakuna gharama ya vibali vya kuishi sio tu Tanzania bali ni nchi yoyote acha mbambambaUnajua gharama ya vibali vya kuishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna gharama ya vibali vya kuishi sio tu Tanzania bali ni nchi yoyote acha mbambambaUnajua gharama ya vibali vya kuishi
Unajua kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni??
Unajua gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania kwa wachezaji wa kigeni?
Tafuta maarifa kwanza kabla ya kuja kuongea usivyovijua vyema.
Working permit inalipiwa sijajua kwa upande wa wachezaji inakuwa kiasi gani, plus Visa pia lazima akate kama ni mwaka, miaka mitatu au zaidi yote unalipia uhamiaji,.. . sijajua kwa wachezaji ikoje lakini hii nina experience nayo kuna boss wangu nilikuwa namsaidia kwenye haya mambo kitambo kidogoHakuna gharama ya vibali vya kuishi sio tu Tanzania bali ni nchi yoyote acha mbambamba
Mbumbumbu mwengine huyu hapaHakuna gharama ya vibali vya kuishi sio tu Tanzania bali ni nchi yoyote acha mbambamba
Visa na Working permit zinalipiwa nadhani hajuiMbumbumbu mwengine huyu hapa
Twende taratibu:Unajua kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni??
Unajua gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania kwa wachezaji wa kigeni?
Tafuta maarifa kwanza kabla ya kuja kuongea usivyovijua vyema.
Mimi yanga mwenzio ila sitetei Upumbavu. Ni aibu kumlipa Feisal mil 4 na Makambo mil 10. Hii haina utetezi usiwe unabweka bweka kama mbwa koko. Nimekasirika sana tunavyowatendea hawa wachezaji wa ndani.Kubali kwanza wewe ni mbumbumbu na kolowizard mfuata mkumbo ili wajuvi tukupe elimu.
Ahsante mr. Kaswende kwa kumpa elimu popoma mwenzio....sasa kwa gharama zote hizo unafikiri zinalipwaje na mchezaji husika kama siyo klabu husika kuzi-cover up kwenye mshahara wa mchezaji?Working permit inalipiwa sijajua kwa upande wa wachezaji inakuwa kiasi gani, plus Visa pia lazima akate kama ni mwaka, miaka mitatu au zaidi yote u alipia uhamiaji sijajua kwa wacheza ikoje lakini hii nina experience nayo kuna boss wangu nilikuwa namsaidia kwenye haya mambo kitambo kidogo
Sasa kwa extra costs zote hizo kwa mchezaji wa kigeni huoni logic ya mshahara wake kuwa mkubwa kuliko wa mzawa with no consideration of their quality?Visa na Working permit zinalipiwa nadhani hajui
Inategemea na kampuni, sehemu nyingine analipia mwajiriwa au mwajiri inategemea na makubaliano yao.... Lakini hiyo haifanyi mchezaji kama fei kulipwa mshahara kiasi kidogo vile., Hapana.Ahsante mr. Kaswende kwa kumpa elimu popoma mwenzio....sasa kwa gharama zote hizo unafikiri zinalipwaje na mchezaji husika kama siyo klabu husika kuzi-cover up kwenye mshahara wa mchezaji?
Hapa napingana na wewe, mchezahi atalipwa kutokana na ubora wake sio mambo ya permit wa visa.Sasa kwa extra costs zote hizo kwa mchezaji wa kigeni huoni logic ya mshahara wake kuwa mkubwa kuliko wa mzawa with no consideration of their quality?
Unajua kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni??
Unajua gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania kwa wachezaji wa kigeni?
Tafuta maarifa kwanza kabla ya kuja kuongea usivyovijua vyema.
Tatizo LA wabongo tunataguliza shida mbele na kukuza brand now Kawa star anataka arushe chupi ndoyale ya Diamond na HarmonieWakati anasaini mkataba alishikiwa akili na mamaako?
His failure to recognize his price and low bargaining power led to his lower fucking salary.
Huu ni upumbavu ndio maana mkaitwa TOPOLOUnajua kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni??
Unajua gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania kwa wachezaji wa kigeni?
Tafuta maarifa kwanza kabla ya kuja kuongea usivyovijua vyema.
SawaTatizo mnaleta mahaba kwenye biashara,,,all in all fei nnayemjua mie hana hio price tag ya 10+ M sokoni.
Azam wamepigwa mchana kweupe kutokana na mahaba yao.
Vibali vya kuishi vinatafutwa na kulipwa na muajiri sio muajiriwa, kodi nyinginezo za mapato mpokeaji huzilipa.Acha upopoma, kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni ni karibia mara tatu ya wanachokatwa wachezaji wazawa.
Vipi kuhusu gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania? Feitoto analipa sh. ngapi?
Ndugu yangu hujui chochote, umeandika tu hapa JF. Ngoja nikupe shule.Acha upopoma, kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni ni karibia mara tatu ya wanachokatwa wachezaji wazawa.
Vipi kuhusu gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania? Feitoto analipa sh. ngapi?
Kuna watu wanapenda kujitia ujuaji kwa Mambo wasiyoyajua.Twende taratibu:
1. Kibali cha kazi Bongo analipia mchezaji au timu?
2. Suala la kodi unaonesha huna uelewa nalo kabisa. Kodi hutozwa kwa kanuni za ukaazi (mtu mwenye kandarasi ya zaidi ya miezi sita huyu kwa sheria zetu ni mkaazi) Hao jamaa uliowataja na Feisal wanalipa kiwango sawa cha kodi kwa sababu wote wanaqualify kuwa residents kwa mujibu wa sheria ya kodi.
Hata hivyo hata kama tukiassume hawana residence status kodi wanayolipa ni ndogo sana asilimia 15% ambayo inawezekana Faisal analipa zaidi yao.
Leta hoja nyingine
Kwa sasa kajitambua ndio maana kageukia Azam.Wa kujilaumu ni Fei toto kushindwa kujua thamani yake. Ndo dunia ilivyo, usipoweza kujua thamani yako na kuipigania hakuna atayekutetea.