Kumbe Makambo anamzidi Feisal Toto mshahara

Kumbe Makambo anamzidi Feisal Toto mshahara

Sasa kwa extra costs zote hizo kwa mchezaji wa kigeni huoni logic ya mshahara wake kuwa mkubwa kuliko wa mzawa with no consideration of their quality?
Work permit haizidi $ 200 na inalipwa mara moja tu,bado haijustfy gap iliyopo kati ya 4M na 10M per month.
 
Hapo hujazungumzia gari na nyumba
Hata wao mashabiki wanaona aibu kubwa kwa mshahara mdogo aliokuwa analipwa Fei Toto.Hapa wanajaribu kufunika aibu,lakini anachodeliver uwanjani Feisal vs Makambo ni mbingu na ardhi ukilinganisha na mishahara yao.
 
Hii nimeipata mda huu
Screenshot_20221225-174313.jpg
 
Kwani swala la mshahara wa mchezaji si issue binafsi, wa kulaumiwa hapo ni nani kama sio Feisal?

Yeye kama alishindwa(pamoja na agent wake) kujua thamani yake, ulitaka yanga ndio wamwambie thamani yake ni kiasi gani?

Mifano ipo mingi hata huko ulaya tulipojifunza issues za football contracts, wapo wachezaji wanapewa mikataba mizuri thanks to their agents, na wengine hawajui thamani yao wanalaliwa.
 
Kuhusu mshahara na maslahi mengine ya mchezaji ni makubaliano ya pande mbili. Kama wakala wa Feisal alishindwa kunegotiate mshahara mkubwa na uongozi wa Yanga hilo sio tatizo la Yanga. Yanga wanafuata makubaliano
 
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.​
Milioni nne ni ndogo?
 
Wachezaji wa kibongo hawako makini kwenye utiaji saini mikataba. Hakuna asiyependa vya rahisi. Hata mimi nataka vya rahisi
Shida ni wazazi wao wanaendekeza unazi kuliko incentives. Mfano,Mama au baba ni mshabiki wa timu fulani ,basi akifuatwa amshawishi mwanae anaingia mkenge kwa kupewa fedha ya HONGO.

NIMEONA JANA JAMAA WANASEMA HATA MAMA YAKE TULIONGEA NAYE. THIS IS UNPROFESSIONAL AND UNBELIEVABLE.

NI UPUUZI MTUPU TENA WA KISHENZI.
 
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.​
Ndicho alichostahili kwa kiwango alichokuwa nacho wakati anasaini. Ila Yanga walitakiwa kumpandisha mshahara ili asipate tamaa ya kuhama.
Amandla...
 
Unajua kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni??

Unajua gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania kwa wachezaji wa kigeni?

Tafuta maarifa kwanza kabla ya kuja kuongea usivyovijua vyema.
Kwa hyo bloangu hvyo vikolokolo anavyokatwa huyo makambo kwa mfano mwisho wa siku atabakiwa na mshahara wa milioni 1?
 
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.​
Kwani so Kila mtu ana mkataba wake tofauti?

Ninyi watu mbona wachovu kwenye sheria? Haya basi sheria za mikataba ngumu huziwezi na bibilia kwenye MATHAYO 20:1-16 inakushinda wakati Yesu alishatoa jibu?
 
Back
Top Bottom