Work permit haizidi $ 200 na inalipwa mara moja tu,bado haijustfy gap iliyopo kati ya 4M na 10M per month.Sasa kwa extra costs zote hizo kwa mchezaji wa kigeni huoni logic ya mshahara wake kuwa mkubwa kuliko wa mzawa with no consideration of their quality?
Hapo hujazungumzia gari na nyumbaWork permit haizidi $ 200 na inalipwa mara moja tu,bado haijustfy gap iliyopo kati ya 4M na 10M per month.
Hata wao mashabiki wanaona aibu kubwa kwa mshahara mdogo aliokuwa analipwa Fei Toto.Hapa wanajaribu kufunika aibu,lakini anachodeliver uwanjani Feisal vs Makambo ni mbingu na ardhi ukilinganisha na mishahara yao.Hapo hujazungumzia gari na nyumba
Hatumtaki aende zake... Haya yangefanyika chini ya kapetiHii nimeipata mda huuView attachment 2457935
Milioni nne ni ndogo?Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.
Kwako ww ni hela nyingi sana.Milioni nne ni ndogo?
Wewe binti akili kisoda sana inamaana mshahara wa outara na kibu denis ni sawa?Unajua unajua brah brah. Si uweke wewe unayejua? Fei anapokea 4m, Makambo 10m ulitaka aseme Fei anamzidi Makambo?
Huna hadhi ya kujibiwa na mimi, niletee waliokutoa akiliWewe binti akili kisoda sana inamaana mshahara wa outara na kibu denis ni sawa?
Shida ni wazazi wao wanaendekeza unazi kuliko incentives. Mfano,Mama au baba ni mshabiki wa timu fulani ,basi akifuatwa amshawishi mwanae anaingia mkenge kwa kupewa fedha ya HONGO.Wachezaji wa kibongo hawako makini kwenye utiaji saini mikataba. Hakuna asiyependa vya rahisi. Hata mimi nataka vya rahisi
Upo period ?Huna hadhi ya kujibiwa na mimi, niletee waliokutoa akili
Ndicho alichostahili kwa kiwango alichokuwa nacho wakati anasaini. Ila Yanga walitakiwa kumpandisha mshahara ili asipate tamaa ya kuhama.Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.
Kwa hyo bloangu hvyo vikolokolo anavyokatwa huyo makambo kwa mfano mwisho wa siku atabakiwa na mshahara wa milioni 1?Unajua kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni??
Unajua gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania kwa wachezaji wa kigeni?
Tafuta maarifa kwanza kabla ya kuja kuongea usivyovijua vyema.
Kwani so Kila mtu ana mkataba wake tofauti?Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.
Niambie kibali cha kuishi sh ngapi we mwenzetu mwenye akili,,, kwa maana hata mie naishi kwa watu ila sijasikia hiyo tozo kuishi,,Mbumbumbu mwengine huyu hapa
Ndo shida ya kutotolelewa na wazazi. Mnaachwa mlelewe na mitaaWakati anasaini mkataba alishikiwa akili na mamaako?
His failure to recognize his price and low bargaining power led to his lower fucking salary.