Yanga walimrejesha Makambo kwa matumaini aliyoyafanya kabla hajauzwa,ambapo alikuwa Bora kuliko fiesal.kumshawishi mshahara ukawa hivyo.mkataba wa Feisal aliingia 2018,irudishe Yanga ya 2018 mapato yake kuna wakati walitembeza bakuli kusaidia,kwa kumpa fei 4m walimthamini, kupenda na kumwamini.sasa Yanga wana mapato ya kumlipa kulingana na kazi ilikuwa swala la yeye kupush uongozi marejeo ya mkataba ambayo viongozi wamekiri kuanza mazungumzo..ila isingeweza kumlipa Kama tunavyosikia uko Azam.uko wamemlipa kiZanzibar zaidi yaani wakwetu.
Ni Kama wahindi wanavyowalipa wahindi wenzao.hilo haliwezekani aende zake ahitajiki yanga.kama mkataba haja breach viongozi mwacheni.kama amekiuka mkataba AZAM walipe fedha wabaki nae.