Kumbe mama anapendwa na kukubalika na makundi mengi katika jamii ikiwepo watumishi wa umma na mama wajasiriamali

Daraja2

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
285
Reaction score
346
Jana tuliona na wengine kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha watumishi wa umma wakishangilia mitaani (kwa furaha na mbwembwe nyingi) baada ya kutoka "kudroo" chochote kitu NMB.

Leo katika pitapita zangu mtaani hali imetulia kidogo (kwa watumishi hao) ila nimeshuhudia vikundi vidogo vidogo vya kinamama wajasiriamali wakiwa katika mikusanyiko isiyo rasmi wakijadili mambo Yao.

Nilipolipita kundi mojawapo nilimsikia Mama Mmoja (mtu mzima) akisema "Watumishi wa umma wana haki na mama SAMIA lakini sisi wajasiriamali tuna haki naye zaidi"

Wenzake (wengi wa umri wa kati) walimuunga mkono na kuorodhesha mambo kadhaa Mama aliyowafanyia ikiwemo mikopo inayotolewa katika Kila kata iliyowanufaisha ipasavyo.

Kupitia maongezi yao na yale ya watumishi wa umma nimejifunza kitu ;

"Kumbe mama anapendwa na kukubalika na makundi mengi katika jamii ikiwepo watumishi wa umma na mama wajasiriamali"

Napenda kuyasihi makundi yote katika jamii yaungane na kamwe yasifarakane katika jitihada za kumuunga mkono mama.

M/MUNGU akinijaalia kesho tarehe 25 / 07 /2025 nitajaribu kupita kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda na kuleta mrejesho "MAMA KAMA MAMA WANAMZUNGUMZIAJE"

Tupo pamoja sana.
 
"KUMBE MAMA ANAPENDWA NA KUKUBALIKA NA MAKUNDI MENGI KATIKA JAMII IKIWEPO WATUMISHI WA UMMA NA MAMA WAJASIRIAMALI"

NAPENDA KUYASIHI MAKUNDI YOTE KATIKA JAMII YAUNGANE NA KAMWE YASIFARAKANE KATIKA JITIHADA ZA KUMUUNGA MKONO MAMA.

M/MUNGU akinijaalia kesho tarehe 25 / 07 /2025 nitajaribu kupita kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda na kuleta mrejesho "MAMA KAMA MAMA WANAMZUNGUMZIAJE"

Tupo pamoja sana.
Mimi nilipita nikasikia huu wimbo

Jana tuliona na wengine kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha watumishi wa umma wakishangilia mitaani (kwa furaha na mbwembwe nyingi) baada ya kutoka "kudroo" chochote kitu NMB.

Leo katika pitapita zangu mtaani hali imetulia kidogo (kwa watumishi hao) ila nimeshuhudia vikundi vidogo vidogo vya kinamama wajasiriamali wakiwa katika mikusanyiko isiyo rasmi wakijadili mambo Yao.

Nilipolipita kundi mojawapo nilimsikia Mama Mmoja (mtu mzima) akisema "Watumishi wa umma wana haki na mama SAMIA lakini sisi wajasiriamali tuna haki naye zaidi"

Wenzake (wengi wa umri wa kati) walimuunga mkono na kuorodhesha mambo kadhaa Mama aliyowafanyia ikiwemo mikopo inayotolewa katika Kila kata iliyowanufaisha ipasavyo.

Kupitia maongezi yao na yale ya watumishi wa umma nimejifunza kitu ;

"Kumbe mama anapendwa na kukubalika na makundi mengi katika jamii ikiwepo watumishi wa umma na mama wajasiriamali"

Napenda kuyasihi makundi yote katika jamii yaungane na kamwe yasifarakane katika jitihada za kumuunga mkono mama.

M/MUNGU akinijaalia kesho tarehe 25 / 07 /2025 nitajaribu kupita kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda na kuleta mrejesho "MAMA KAMA MAMA WANAMZUNGUMZIAJE"

Tupo pamoja sana.
umepimaje kupendwa? weka data na ulivyoipata hiyo data
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.

Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.

Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.

Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

View: https://x.com/Jambotv_/status/1948456663083634852?t=O7Y_gGZZ83FxR2-y1xWklg&s=08
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza tembeza huku na kule
 
Hadi majangiri yanamkubali hakuna kama mama🐼
 
An
Jana tuliona na wengine kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha watumishi wa umma wakishangilia mitaani (kwa furaha na mbwembwe nyingi) baada ya kutoka "kudroo" chochote kitu NMB.

Leo katika pitapita zangu mtaani hali imetulia kidogo (kwa watumishi hao) ila nimeshuhudia vikundi vidogo vidogo vya kinamama wajasiriamali wakiwa katika mikusanyiko isiyo rasmi wakijadili mambo Yao.

Nilipolipita kundi mojawapo nilimsikia Mama Mmoja (mtu mzima) akisema "Watumishi wa umma wana haki na mama SAMIA lakini sisi wajasiriamali tuna haki naye zaidi"

Wenzake (wengi wa umri wa kati) walimuunga mkono na kuorodhesha mambo kadhaa Mama aliyowafanyia ikiwemo mikopo inayotolewa katika Kila kata iliyowanufaisha ipasavyo.

Kupitia maongezi yao na yale ya watumishi wa umma nimejifunza kitu ;

"Kumbe mama anapendwa na kukubalika na makundi mengi katika jamii ikiwepo watumishi wa umma na mama wajasiriamali"

Napenda kuyasihi makundi yote katika jamii yaungane na kamwe yasifarakane katika jitihada za kumuunga mkono mama.

M/MUNGU akinijaalia kesho tarehe 25 / 07 /2025 nitajaribu kupita kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda na kuleta mrejesho "MAMA KAMA MAMA WANAMZUNGUMZIAJE"

Tupo pamoja sana.
anakubalika sana hata mimi namkubali kura yangu nitampigia
 
Back
Top Bottom