screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Leo nimehudhuria Fiesta ya Muleba nimeshangaa sana, yule mzee wa amsha popo a.k.a mfalme wa singeli anaperform raia wamekula bati hadi nikamuhurumia. Nikajua labda ikifika zamu ya hit yake 'Hainaga Ushemeji' upepo utabadilika, lakini wapi 'Nshomile' hawaelewi kitu.
Nikashangaa huyu ndio anasema BongoFleva wakatafute kazi nyingine ya kufanya? Kwenye show hiyo wasanii wa Bongofleva/Hiphop wakina Joh Makini, Stamina, Mr Blue, Chege, Jux, Baraka, ndio wameng'aa sana. ManFongo na mwenzake Shollo Mwamba wameflop totally