Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri shemeji yangu utafute uusikie. Kama utapata shida niPM whatsapp yako nikurushieHuo wimbo wa sijui hainaga ushemeji sijawahi hata kuusikia.
Nshomile umepanicHivi kama yeye anaishi Muleba ndani ya nyumba ina kiyoyozi na anatengeneza mkwanja wa nguvu nawe waishi Dar ila kambi ya fisi manzese na hata kesho huna hakika nayo, nani mjanja kati yenu?
Sio lazima unijibu, ila tatizo la fikra za aina hiyo wanalo wengi na ndio liletalo unasikini miongoni mwa watu
Muongo mkubwa wew kabla ya fiesta singeli ilishafika mikoani na hasa bodaboda wanazisikiliza sana mi nilienda tour rombo kule mpakan tarakea sikuamin kukuta bodaboda wanasikiliza singeli tena si huko tu na njiani tulisimama sana kwenye vijiji vilivyochangamka mziki pendwa kwa bodaboda ni huoHiyo Efm inaskika mikoa mingapi? clouds wameipaisha singeli acha ubishi. watu wengi wa mikoani wanawajua hao wasanii wa singeli kupitia clouds kwakua ndo redio inayosikilizwa mda mwingi.
Ndio ilifika. Ni nani alieifikisha mikoani?Muongo mkubwa wew kabla ya fiesta singeli ilishafika mikoani na hasa bodaboda wanazisikiliza sana mi nilienda tour rombo kule mpakan tarakea sikuamin kukuta bodaboda wanasikiliza singeli tena si huko tu na njiani tulisimama sana kwenye vijiji vilivyochangamka mziki pendwa kwa bodaboda ni huo
Wakazi wa dar na si clouds maana wao waliuita ni mziki wa kihuniNdio ilifika. Ni nani alieifikisha mikoani?
Hao wakazi wa Dar walikuwa wanapita nyumba kwa nyumba kuitangaza singeli mikoani?Wakazi wa dar na si clouds maana wao waliuita ni mziki wa kihuni
Kumbee nabishana na ..........Hao wakazi wa Dar walikuwa wanapita nyumba kwa nyumba kuitangaza singeli mikoani?
Wanaume wa Dar buanaKumbee nabishana na ..........
Mjanja kanielewa