Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hainaga uzembe hiyo, huwa inatokea tu.Hahaha.... Siliwagi kizembe zembe.
Halafu Ruge alikuwepo jana, akashusha bei ya tiketi hadi buku 5, sijui alihisi ndugu zake hawatakuja kwenye showRuge anawapelekea hainaga ushemeji ndugu zake wamesusa...afadhari angepeleka PAREKATI PATAMU wangeelewa wana wa KATERELO[emoji117] [emoji126] [emoji12]
hahahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo wimbo wa sijui hainaga ushemeji sijawahi hata kuusikia.
Huo wimbo wa sijui hainaga ushemeji sijawahi hata kuusikia.
Kumbe eh... Nilikuwa nadhani labda ni bonge la nyimbo.Huo hata siyo wimbo.
Ni makelele tu.
HahahhhaHao wahaya singeli wanaichezea chooni....Huku nje watajifanya wanapenda blues tu na country music....Tushawazoea hao
Huo UFALME wa SINGELI amempa NANI..!?yule mzee wa amsha popo a.k.a mfalme wa singeli
Ooh kumbe Clouds Fm...Clouds FM
Mbona mwanza na kahama walifanya vizuri?,why muleba tu, au nyinyi ndio hamtaki mziki wa asilia ya tamaduni xa tanzania?Sijui kama Clouds wanafanya research kweli kabla ya kupeleka wasanii sehemu, yaani huku hawaeleweki kabisa, au wanaassume msanii akikubalika Dar na kwingine atakubalika? Yaani Man Fongo na Shollo Mwamba ndo wasanii waliopewa shangwe ndogo zaidi kwa wasanii waliotoka Dar, wamefunikwa hata na Bonge La Nyau haha...!!!
Sijui kama Clouds wanafanya research kweli kabla ya kupeleka wasanii sehemu, yaani huku hawaeleweki kabisa, au wanaassume msanii akikubalika Dar na kwingine atakubalika? Yaani Man Fongo na Shollo Mwamba ndo wasanii waliopewa shangwe ndogo zaidi kwa wasanii waliotoka Dar, wamefunikwa hata na Bonge La Nyau haha...!!!