Kumbe Man Fongo si lolote nje ya Dar

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Leo nimehudhuria Fiesta ya Muleba nimeshangaa sana, yule mzee wa amsha popo a.k.a mfalme wa singeli anaperform raia wamekula bati hadi nikamuhurumia. Nikajua labda ikifika zamu ya hit yake 'Hainaga Ushemeji' upepo utabadilika, lakini wapi 'Nshomile' hawaelewi kitu.

Nikashangaa huyu ndio anasema BongoFleva wakatafute kazi nyingine ya kufanya? Kwenye show hiyo wasanii wa Bongofleva/Hiphop wakina Joh Makini, Stamina, Mr Blue, Chege, Jux, Baraka, ndio wameng'aa sana. ManFongo na mwenzake Shollo Mwamba wameflop totally

 
Singeli na Mhaya wa Kanyigo..Katerelo..Muleba..wapi na wapi![emoji126] [emoji12]
Sijui kama Clouds wanafanya research kweli kabla ya kupeleka wasanii sehemu, yaani huku hawaeleweki kabisa, au wanaassume msanii akikubalika Dar na kwingine atakubalika? Yaani Man Fongo na Shollo Mwamba ndo wasanii waliopewa shangwe ndogo zaidi kwa wasanii waliotoka Dar, wamefunikwa hata na Bonge La Nyau haha...!!!
 
Watu wanamshangaa kama wameona Zombi,chezea "milioni 700 hela ya dagaa" wewe.
 
KHAAAAAAAAAAAAA JANA USWAZI WALITUSUMBUA SANA NA SINGELI ZAO HIZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…