Kumbe Man Fongo si lolote nje ya Dar

Ujaanja wote unaishi muleba?
Hivi kama yeye anaishi Muleba ndani ya nyumba ina kiyoyozi na anatengeneza mkwanja wa nguvu nawe waishi Dar ila kambi ya fisi manzese na hata kesho huna hakika nayo, nani mjanja kati yenu?
Sio lazima unijibu, ila tatizo la fikra za aina hiyo wanalo wengi na ndio liletalo unasikini miongoni mwa watu
 
nyie huko kwenu mmemkariri Saida Koroli kaeni hapo mumsubiri.
 
Ruge anawapelekea hainaga ushemeji ndugu zake wamesusa...afadhari angepeleka PAREKATI PATAMU wangeelewa wana wa KATERELO[emoji117] [emoji126] [emoji12]
 
Hata mwanza wasukuma walikua wamesimama tu
 
Tatizo mikoni bado watu washamba, sasa hapo hata kusikia ameimba nini hawaelewi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua huyo manfongo nyimbo zake zimekuzwa na EFM ndo maana
 
Kuna baadhi ya nyimbo za singeli kwa kweli zinakufanya ucheke ukizisikiliza. Huyo man fongo wa kawaida, kuna wakali zaidi yake ila naona nyota imemuwakia yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…