Kumbe Man Fongo si lolote nje ya Dar

Wengine hatupendi hizo kelele.Unasiliza mziki kama unapigana vita
 
Ruge anawapelekea hainaga ushemeji ndugu zake wamesusa...afadhari angepeleka PAREKATI PATAMU wangeelewa wana wa KATERELO[emoji117] [emoji126] [emoji12]
Halafu Ruge alikuwepo jana, akashusha bei ya tiketi hadi buku 5, sijui alihisi ndugu zake hawatakuja kwenye show
 
Ila huu mziki ni wa uswazi tuuu, huko kwenye kusasambua, ila maeneo ya watu wenye Maisha ya ukweli huwezi sikia hizo kelele, ni huku uswazi kwetu tuuu.
 
watu wa muleba wana akili sana hata kama ni usanii sio kwa upupu ule mtu haeleweki eti amsha popo
 
Hata mm misingeshangilia, linyimbo lenyewe eti hainaga ushemeji asa siuhuni hio!? Wakaimbie manzese nawahuni wenzao
 
Mbona mwanza na kahama walifanya vizuri?,why muleba tu, au nyinyi ndio hamtaki mziki wa asilia ya tamaduni xa tanzania?
 

Shangwe ndogo zaidi.....mwanzo mzuri huo mi nilidhani wakati wanaperform mashabiki wote waliondoka wakawaacha wenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…