Kumbe Man Fongo si lolote nje ya Dar

Nshomile umepanic
 
Hiyo Efm inaskika mikoa mingapi? clouds wameipaisha singeli acha ubishi. watu wengi wa mikoani wanawajua hao wasanii wa singeli kupitia clouds kwakua ndo redio inayosikilizwa mda mwingi.
Muongo mkubwa wew kabla ya fiesta singeli ilishafika mikoani na hasa bodaboda wanazisikiliza sana mi nilienda tour rombo kule mpakan tarakea sikuamin kukuta bodaboda wanasikiliza singeli tena si huko tu na njiani tulisimama sana kwenye vijiji vilivyochangamka mziki pendwa kwa bodaboda ni huo
 
Ndio ilifika. Ni nani alieifikisha mikoani?
 
Huo mziki wa singeli haujawa popular uko bara ,unatamba hapa DSM na pwani pia ni wa kiswazi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…