khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 210
Biashara ya udalali! Hata Manji ndio anachofanya. Ananunua huku na kuuza kule tena bila hata mtaji. Anaweka bla bla, anashinda tenda,anaenda benki wanadhamini show. Kiwanda kinaleta mali, then analipwa pamoja na faida yake. Anarudisha hela ya watu ya benki, then anaendelea kutumbua faida yake. Manji hana viwanda, lakini ndiye mmoja wa supplier mkubwa wa bidhaa mbali mbali hapa nchini...
picha ya nani.... jamaa ni mastermind kwa akili anayotumia ni balaa... udalali wa high level
Jifunze kutoka kwake. Kuwa dalali sio dhambi.
Jamani kuweni makini, hili neno "dalali" limeitetemesha nchi kupitia wizara ya madini
Msije kusema sikuwaonya.
Kwahiyo wapi panakuwasha?
Kwahiyo wapi panakuwasha?
weka picha!